Hotuba ya Kikwete Kigoma haijazungumzia uchaguzi huru na wa haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya Kikwete Kigoma haijazungumzia uchaguzi huru na wa haki

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ulukolokwitanga, Oct 14, 2010.

 1. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Nimesikiliza kwa makini hotuba ya JK pale Kigoma kupitia TBC1, wakati anaongelea uchaguzi hajatamka hata mara moja neno UCHAGUZI HURU NA WA HAKI. Kaongelea uchaguzi wa amani na utulivu na kutoa mifano kibao iliyo na vitisho. Sasa Watanzania tujiulize, je uchaguzi huu utakuwa huru na wa haki kweli? Ina maana rais wa nchi hajui kuwa ktk uchaguzi huru na wa haki damu huwa haimwagiki??? Nina mashaka makubwa na dhamira ya JK kuendesha uchaguzi huru na wa haki kwa kuwa neno hilo hajalitamka hata mara moja leo, huenda dhamira inamshitaki kutokana na mipango ya nyuma ya pazia kuchakachua uchaguzi.
   
Loading...