Hotuba ya Kambi ya Upinzani kuhusu makadirio na matumizi Wizara ya Mambo ya Ndani

Aisee ukawa wanacheza total football, ndiyo maana ccm wanajiangusha mara kwa mara ili wapewe penalty ya bure, magoli waliyofungwa hapa hata kipa hajayaona yanavyoingia. UKAWA endelezeni moto huo huo wananchi tupo nyuma yenu tunawaunga mkono, hiyo hotuba haina kasoro hata moja
Mambo kama haya ndiyo yalimfanya waziri lumbesa afunge matangazo ya moja kwa moja kwani yanawadhalilisha. Yule mmoja sijui anatumia jani kasema tung'oe sanamu ya askari pale city centre tuweke ya baba nanihi. Mwingine wa QT ya miaka 10 kasema anajisikia uchungu kama wa kujifungua akiona matangazo live.
 
Kabla ya ugunduzi wa madini, Botswana ilikuwa ni moja ya nchi masikini sana Afrika, na ufugaji wao ulikuwa ni wa kuchunga ng'ombe, baada ya kujipanga vizuri wakabadilisha kila kitu. Botswana ni mfano mzuri sana wa kujifunza kwa sababu hawakuanza hivi walivyo sasa, nyuma walikuwa hovyo, jangwa, na masikini wa kutupwa; ilipotokea wamepata madini walikaa chini wakachora strategy ya maisha yao na ndio leo wapo hivyo walivyo. Tanzania tuna maeneo mengi zaidi ya kufanya hii program kuliko Botswana hivyo no excuse at all.
Soma vizuri historia ya Botswana. Kablaa ya kugundua madini uchumi wa Botswana ulitegemea export ya nyama ya ng'ombe. Ufugaji wa Botswana ulikuwa bora kuaanzia miaka ya 60 wakati madini yamekuja kuiinua Botswana miaka ya 90!
 
Soma vizuri historia ya Botswana. Kablaa ya kugundua madini uchumi wa Botswana ulitegemea export ya nyama ya ng'ombe. Ufugaji wa Botswana ulikuwa bora kuaanzia miaka ya 60 wakati madini yamekuja kuiinua Botswana miaka ya 90!
Argument yetu ilikuwa kwamba kwa Tanzania ardhi inaweza ikapimwa na kukawa na maeneo yaliyotengwa kwa mifugo na kilimo.
Mimi naamini hilo linawezekana isipokuwa hatujaweza kuwa na socio-political will kulifanyia kazi.
Tukirudi kwenye hoja yako hapo juu kuhusu Botswana; nimesoma historia ya Botswana na nimeishi na kufanya kazi Botswana tena katika sekta ya kilimo.
Botswana ilikuwa ni moja ya nchi masikini sana katika Afrika kabla na baada tu ya uhuru mwaka 1966. Per Capita GDP ilikuwa ni dola 70.
Diamond iligunduliwa mwaka 1967 katika mji unaoitwa OLAPA na sio miaka ya 90 kama unavyodai wewe. Na ilipofikia mwaka 1982 tayari kulikuwa na major mines OLAPA na JWANENG kwenye highway inayokwenda Namibia.
Ufugaji wa kuchunga ulikuwepo na upo mpaka sasa isipokuwa ni kwa kiwango kidogo na ng'ombe wanachunga wenyewe kwa sababu hakuna wachungaji kutokana na nature ya population yao.
Ndio maana nikasema baada ya uchumi wao kukaa vizuri wakaanza kumodernize beef production kwa sababu ya masoko ya South Afrika na European Union.
 
Hotuba hii nzuri sana kwa JPM.Inamrahisishia kutumbua majipu kwa urahisi.Imesheheni mapungufu ya serikali bayana.Ashindwe mwenyewe
 
Back
Top Bottom