Hotuba ya kambi rasmi ya upinzani kuhusu bajeti ya habari,sanaa utamaduni na michezo

Musa tesha aliyemwagiwa tindikali na chadema huko igunga.
 
Attachments

  • igunga na tindikali.jpg
    igunga na tindikali.jpg
    34.5 KB · Views: 32
Wanachojadili ni bajeti ya wizara.Hiyo hotuba ya upinzani imejaa ujinga mtupu.Kama kambi ya upinzani alitakiwa aje na bajeti mbadala siyo porojo tupu alizoandika.Alitakiwa kama waziri kivuli aje na bajeti yake inayoonyesha yeye wizara yake ingetumia shilingi ngapi,pesa shilingi ngapi zingeelekezwa maeneo yapi.Upinzani shame on you.Na nimefuatilia majadiliano ya bajeti hadi sasa hakuna waziri kivuli anayekuja na bajeti mbadala ya upinzani ya wizara husika.Wote wanakuja na porojo tupu ambazo zinamkera hadi spika kusema porojo zingine ondoa.

Hotuba nzima haionyeshi chochote cha pesa ni porojo kuanzia mwanzo hadi mwisho.Kwa mwendo huu watanzania tukiri wazi upinzani TANZANIA hatuna tuna wapiga porojo.Yaani hakuna waziri kivuli aliyeandaa bajeti pinzani ya wizara yake hata mmoja.wote wamekalia porojo.Upinzani mnakula pesa za walipa kodi bure
 
Sasa mbona amesahau kusema kuwa Radio five na Magic Fm zilifungiwa na Mh Nape? hahahahaha au kwakuwa ni maswahiba sasa hivi?
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu............

Ben Saanane aliamua kuwa mkweli na kutoa maoni yake, ambao ni uhuru aliopewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 18.

Sasa badala ya serikali kufanyia kazi hoja zilizoibuliwa na Ben Saanabe, badala yake wameamua 'kumpoteza' na kumpeleka mahali kusikojulikana!
 
Wanachojadili ni bajeti ya wizara.Hiyo hotuba ya upinzani imejaa ujinga mtupu.Kama kambi ya upinzani alitakiwa aje na bajeti mbadala siyo porojo tupu alizoandika.Alitakiwa kama waziri kivuli aje na bajeti yake inayoonyesha yeye wizara yake ingetumia shilingi ngapi,pesa shilingi ngapi zingeelekezwa maeneo yapi.Upinzani shame on you.Na nimefuatilia majadiliano ya bajeti hadi sasa hakuna waziri kivuli anayekuja na bajeti mbadala ya upinzani ya wizara husika.Wote wanakuja na porojo tupu ambazo zinamkera hadi spika kusema porojo zingine ondoa.

Hotuba nzima haionyeshi chochote cha pesa ni porojo kuanzia mwanzo hadi mwisho.Kwa mwendo huu watanzania tukiri wazi upinzani TANZANIA hatuna tuna wapiga porojo.Yaani hakuna waziri kivuli aliyeandaa bajeti pinzani ya wizara yake hata mmoja.wote wamekalia porojo.Upinzani mnakula pesa za walipa kodi bure
Mbona watokwa na povu kiasi hicho!?

Kumbe ukweli mchungu eti?
 
Hotuba bora kabisa iliyovunja rekodi tangu bunge la budget lianze
Maskini weeeee hivi ukimwita mkeo mjadili bajeti unajua maana yake? Mke akisema Pesa tuliyopata nusu nipe niende saluni wewe unamjibu hapana tupeleke watoto shule!!! Hapo mbilinyi ni wapi umeona kajadili bajeti? Katika hotuba ya bajeti ya hovyo kuliko zote zilizowahi tokea ni hii ya mbilinyi hakuna mahali kajadili bajeti
 
Mbona watokwa na povu kiasi hicho!?

Kumbe ukweli mchungu eti?
Aisee hapo mtatoka mnasema Mbilinyi Kajadili bajeti ya wizara!!!! Waziri kapeleka bajeti inasema kifungu hiki na hiki wizara itatumia pesa hii na ile yeye badaya ya kujikita kwenye bajeti anakuja na porojo za kurap kama za muziki wa kizazi kipya!! Kapoteza iopportunity muhimu mno.Nakuhurumia inaonyesha huelewi bajeti ni nini na unapojadili bajeti unajadili kitu gani.
 
kwa viambatanisho hivyo vya BEN tumuombe Mungu aendelee kuwa naye peponi maana hakuna mashaka walishamzimisha kitambo. lakini weledi , uwazi na uchokonozi wake vitaendelea kung'aa na kuonyesha njia ya kweli kuelekea TANZANIA tuitakayo , Tanzania ya wote , Tanzania ilo huru . Bwana anasema muonapo haya maisha yamekuwa ya utungu na udhuni kubwa kaeni tayari maana mwana wa Adamu yu malangoni kuwaokoa . TAnzania mpya iko karibu nasema tena imekaribia na haiko mbali
 
Aisee hapo mtatoka mnasema Mbilinyi Kajadili bajeti ya wizara!!!! Waziri kapeleka bajeti inasema kifungu hiki na hiki wizara itatumia pesa hii na ile yeye badaya ya kujikita kwenye bajeti anakuja na porojo za kurap kama za muziki wa kizazi kipya!! Kapoteza iopportunity muhimu mno.Nakuhurumia inaonyesha huelewi bajeti ni nini na unapojadili bajeti unajadili kitu gani.
Utajadili bajeti gani huku watu wanauliwa na kutekwa na hatua hazichukuliwi ?

Kingine ni hiki , hata tukijadili lakini utekelezaji ni 34%
 
Nimesoma hotuba yote sijui ni maneno gani makali yapo humu mpaka kupelekea Zungu kukataa hotuba hii kuwasilishwa bungeni
 
Nimesoma hotuba yote sijui ni maneno gani makali yapo humu mpaka kupelekea Zungu kukataa hotuba hii kuwasilishwa bungeni
Hanna bajeti aliyojadili kwenye hotuba yake aache ubunge akaendelee tu na muziki sasa hivi pengine angekuwa juu kuliko Diamond kimapato na umaarufu.Very disappointing
 
mnayafanya wenyewe chumbani mkija huku nje mnawageuzia wengine. poor you
Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuwa tujieleze yenye maana pekee bali kujua kuwa kila mmoja wetu ni mjinga, mwenye busara au mwerevu kiasi gani. Wewe ulijua kuwa kuna watu zaidi ya 9,000 serikalini wenye vyeti feki!? Lakini wenyewe walikuwa wanajijua na baadhi yetu tuliwajua na tunawajua wengi tu waliobaki!
Sio ajabu unakuta nchi (mfano Japan, Scandinavian nk) tunajiaminisha kuwa watu wake wote wana akili ...sasa hudhani kwamba kuna nchi zinazoaminiwa kuwa na wajinga wengi pia!? Kupitia freedom of expression ndio tunaweza kujua haya mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom