Hotuba ya JK Mjini Dodoma imeleta matumaini gani kwa wana ccm na wananchi kwa ujumla? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya JK Mjini Dodoma imeleta matumaini gani kwa wana ccm na wananchi kwa ujumla?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Feb 6, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Jamani,
  Hivi hotuba ya jk jana mjini Dodoma imeleta matumaini gani kwa chama chake cha ccm na wananchi kwa ujumla kuhusu mustakabali wa nchi yetu kiuchumi, kisiasa na kijamii??
   
 2. c

  cray Senior Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 172
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hakuwa anahutubia Taifa, alikua anahutubia wanachama wenzake wa sisiem. Labda ungeelekeza swali hili kwa wanasisisem, watueleze, Je nimatumaini gani walipata kutokana na hotuiba hii? Hivi unaweza kuniambia kwa maneno yanamna ile Raisi anaweza kuwa alikua anahutubia taifa kweli? siamini, Mi najua alihutubia wanasisiem na hotuba ya Taifa ndo atatueleza nani ni mmiliki wa Dowans na je tunalipa au hatulipi.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ameongea utumbo ameshangiliwa na wana ccm sasa hilo swali kawaulize ccm.
   
 4. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ilikuwa birthday ya ccm. kilichozungumzwa kinawahusu wao na wakereketwa wao. Acha kudandia kila kitu. Au umelewa mbege?
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Alichokisema, kwa wanaCCM, kama kitatekelezwa, kitaleta uhai kwenye chama. Chama hicho hivi sasa kinahitaji mabadiliko makubwa, na yeye ameahidi hilo.
  Lakini kusema ni jambo moja na kutenda ni jambo jingine, na uzoefu unaonyesha kuwa mara nyingi JK amekuwa akitoa ahadi ambazo utekelezaji wake unasuasua au haufanyiki kabisa.
   
 6. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #6
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du amekanusha hahusiki na Dowans
  Kwanza niseme wazi kwamba ule msemo wa wahenga wa akutukanae hakuchagulii tusi hapa umetimia. Napenda kuwahakikishia wana-CCM na wananchi wenzangu kuwa sina uhusiano wowote wa kimaslahi kwa namna yoyote ile na kampuni ya Dowans. Sina hisa zozote wala manufaa yoyote yale. Pia sina ajizi wala kigugumizi cha kuchukua hatua kwa sababu ya rafiki yangu au hata kama angekuwa ndugu yangu kahusika. Maamuzi yaliyofanywa na Kamati Kuu na Kamati ya Chama ya Wabunge wa CCM yalifanywa chini ya uogozi wangu. Ni uthibitisho tosha wa ukweli huo. Waliokuwepo kwenye vikao hivyo wanajua ukweli wa haya ninayosema. Ningekuwa na maslahi au hofu tusingefanya uamuzi ule.
  Na ameonyesha upendo hata kwa watoto angalia picha
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Imeongeza hasira za wananchi!!!
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  CCM walipofika wanahitaji input kubwa ya vijana...kwa bhati mbaya vijana ndio wamewasahau kabisa. Wameelemewa na ugumu wa hali ya juu ya maisha wameanza kuichukia CCM. Mwenyekiti hata kama mambo mengine kama ya Dowans hayajui, ila hilo naona analijua.
   
 9. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
   
 10. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #10
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du basi atalihutubia Taifa kuhusu Tunisia na Misri kwa Mubarak akishatoka Ivory Coast kwa Bagbo
  Mm ningeshauri muangalie AlJazeera ndio hasira zitapowa
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  aliongea utumbo hakuwa na jipya
   
Loading...