Hotuba ya jk leo ipo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya jk leo ipo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gagurito, Mar 31, 2011.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  wadau wanajf, sina uhakika, naombeni mnijuze kuhusu ule utaratibu mh wetu alioudesa toka kwa Mh. Mkapa wa kuhutubia wananchi kila mwisho wa mwezi leo upo? Je atahutubia? 31 March ndio hii!
   
 2. LWAKAPISI

  LWAKAPISI Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :angry:hata km ipo hana jipya sanasana atasema hajui kwanini Watanzania ni maskini,atajipendekeza masuala ya Libya mwisho atasisitiza Watanzania twende kwa "BABU" maana serikali haiwezi huduma za afya:angry:
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  unataka aongee nini mkuu mbona hana jipya! AU UMEMISS TABASAMU LAKE!
   
 4. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Kuna usemi usemao kuwa "Ukiwa kijana ukawa mnafiki ukizeeka lazima utakuwa mchawi tu" na wasiwasi na saigon, maana wewe akili yako umeiwekeza kwenye unafiki, pole sana na badilika.siyo kila isue wewe uwe ivo.change ur self
   
 5. M

  Mkono JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 569
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Atasubiri maandamano mengine ya chadema.
   
 6. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Si udini anasema kweli mh hana jipya
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ho2ba hkn cz Makamba amesahau kmwandkia!
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Huyu mzee ana mengi ya kuongea lakini hawezi coz wanaomzunguka wameshammwagia sumu na anawaogopa...labda atatupa ripoti ya kutembelea wizara alizopita hivi karibuni
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  so leo hakuna hotuba? Na km ipo mnadhan ajenda nizipi?
   
 10. only83

  only83 JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Rweyemamu si yupo humu JF atujuze wanaJF wenzake.Lakini kwa kusoma majira na nyakati nadhani hawezi kuhutubia mwezi huu..sana sana akijitahidi ataenda kuongea na wazee wa Bakwata pale Diamond Jubilee..
   
Loading...