Hotuba ya JK jana inashiria mwisho wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya JK jana inashiria mwisho wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king86c, Feb 6, 2012.

 1. k

  king86c Senior Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Katika hali ya kushangaza JK jana alisema ccm lazima ibadilike iweze kusonga mbele na pia katibu uenezi na wenzake waendelee kupiga domo kwa manufaa za chama h hii sehemu ndogo tuu inashiria ata yeye kama mwenyekiti aoni kama chama kina mvuto zaidi kudai posho bungeni tia maji maji si dhani kama kuna mabadiliko anaweya ku kuleta tana
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ulichokiandika hakina mantiki ie pumba ndio maana hakuna wachangiaji.
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  upupu huu,mods mko wapi?
   
 4. k

  king86c Senior Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  yaonekana kimekuchoma mwisho ccm si ndio mwanzo wa cdm
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  sasa wewe umeandika nini au kuandika kwako sio kuchangia?mtahangaika sana mwaka huu na rais wenu legelege na asiye na upeo ndo maana alipata GPA 2.3 UDSM.....eti Dr..hahaa m.k.w..er.e awe dokta toka lini
   
 6. J

  Juma Kilaza Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  mwisho wa ccm uje mara ngapi?
   
 7. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  pyaaa! kama bata kanya.
   
 8. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Majimbo 43-CDM kwa 259-CCM tamaa ya fisi mkono wa binadamu uanguke! CCM idondoke leo!
   
Loading...