Hotuba ya jk:9/12/2013.

Chibolo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,973
6,442
Hotuba nzima amemsifia hayati nelson mandela kwa uongozi wake shupavu,hajaongelea chochote kuhusiana na mafanikio na changamoto tangu tumepata uhuru.
 
Viongozi wanafiki wanatia Kinyaa kusifia tu viongoziwazalendo huku wao wakiendana kama mapaka shume
 
Ha,ha,ha,ha,haaaaaa.Hakuna kitu hapo.Na ndo maana watu hawakuwa na moyo wakuudhuria hapo,mimi mwenyewe nimeona hamna jipya,nikaamsha fasterfaster kuelekea viwanja kuendelea na mambo yangu.Bytheway utasikia kwamba maandalizi yameghalimu bil.3.F.U.C.K.I.N.G BUDGET FOR NOTHING NEW.
 
Right, sherehe kama hizi zimebaki watu kumalizia miradi yao!
 
Je,amesamehe wafungwa wangapi this time rais wetu,maana ndio vya kujiuliza pia!
 
Hotuba nzima amemsifia hayati nelson mandela kwa uongozi wake shupavu,hajaongelea chochote kuhusiana na mafanikio na changamoto tangu tumepata uhuru.

Nilishangaa mwanzo mwisho hii ni uhuru day au Mandela day, hatukatai ndio ukubwa na umuhimu wa Mandela duniani lakini sio kipaumbele kwa siku ya leo, ingetolewa dakika chache kama 1 au 2 za kumbuka Mandela tena za kimya tuu kama premier league walivyofanya mechi za week end zote.
 
....mtakatifuuuu mandelaaaaa,utuoombeeeeeeeee!....
....mtakatifuuu nyerereeeee,utuombeeeeeee!
....watakatifu kenyata,nkrumah,gaddafi,lumumba,machel,mmtuombeeeee!
.....Watakatifu woooteeee wa Muungu,mtuombeeeee!
 
Kimewauma sana mlitaka amzungumzie slaa na mtei ndio mngejua rais kaongea? Haya kakojoeni mkalale jpili leo
 
Hotuba nzima amemsifia hayati nelson mandela kwa uongozi wake shupavu,hajaongelea chochote kuhusiana na mafanikio na changamoto tangu tumepata uhuru.

inaitwa funika kombe mwanaharamu apite
 
Back
Top Bottom