Zanzibar 2020 Hotuba ya Dkt. Hussein Mwinyi kisiwani Pemba (Julai 19, 2020): Yajayo yanafurahisha

Gavana
Mkuu nomba kwa Allah! siku akili zikikurudia, na mola kakupa ufahamu wa unachofanya leo walahi utalia machozi ya damu. Lkn siye twadumisha muuungano ata kwa damuuuu! Gatuogopi cheiituu yakheee!
 
Nani
Mkuu siyo kukuhasi tu, na kupumulia chogoni, hivi hujui kwa nini mnaitwa chogo kaffir wakt mko kwenu? washenzi sana wale!!. Kwanza huku walichapwa bakora na kufunga vijumba vyao vile vya sala, ukiwapenda sana na kuwafuatafuata dalili ndo kama hizi shekh!.

Labda umesahau, kwa imani yetu waislamu ndio lazima tuwapende waarabu. Mtume wetu (SAW) alikuwa muarabu. Au umesahau ? Na uyo mtoa hutba pia ana sijda usoni, sidhani kama atakubaliana na wewe izo pumba unazoandika hapa. Labda aplay along tuu kwa kujitoa fahamu.

Labda nikudokeze tuu, adhana unayoijua wewe waarabu wote na waislamu wote wanatumia kuitana kwenda kusali nakupa kitendawili katafute nani mtunzi wake. Nikupe hint tuu alikuwa mtu mweusi akiitwa Bilal (RA), sasa hizo kasumba zako za kuhasi watu sijuwi umezitolea wapi. Kajifunze kidogo historia ya uislamu na watu weusi halafu ndio uje hapa na hoja za kipuuzi.
 
Mkuu uko sahihi but kusema kweli hawa mitume wenu ni wanyonyaji wakubwa, wakoloni sijui yesu wa vatican na mtume wa waarabu ni makatili sana, walituma watoto wao waje kutufanya watumwa? hawafai.

kumuuza binadamu mwenzio km mnyama, kuhasi,kutumikisha mwanadamu mwenzio? Then wanawaabudisha mpaka leo? Halisameheki! Inahitaji moyo mgumu sana. naamini wewe siyo mweusi pasi na uchungu? Lazima una damu yao hao watesi! Mungu wa kiarabu maarufu km europids. Sisi huku tulikataa ujinga huo kabisa, huyo unaye msema ana sigda ni mwanasiasa. Anataka kura.
 
Waarabu Mkitubu madhambi yenu. Waafrica tutawasamehe tu. Muwe waungwana kama wazungu Makaburu na ulaya na USA walitubu tukawasamehe kabisaa!
Walio muua George floyd, polisi wazungu wametubu mbona wamesamehewa tatizo nyinyi vichwa ngumu hamtaki kutubu ndo sababu kubwa ya kukaliwa na taifa l shetani Israel mnakufa hovyo Syria,uarabuni kote ni shida, ile dhambi ya kuwa nyanyasa weusi inawatafuna mpaka kesho pamoja na wengine kujifanya ni waafrica.Shetani hana rafiki tubuni hamtaki hayaaa subirini!!!!
 
Mkuu uko sahihi but kusema kweli hawa mitume wenu ni wanyonyaji wakubwa, wakoloni sijui yesu wa vatican na mtume wa waarabu ni makatili sana, walituma watoto wao waje kutufanya watumwa? hawafai.

kumuuza binadamu mwenzio km mnyama, kuhasi,kutumikisha mwanadamu mwenzio?

Unaweza kutupa ushahidi wa ukatili wowote uliofanyika katika historia ya kiislamu ? Nijuavyo watu weusi walikuwa na vyeo vikubwa vikubwa katika uislamu na hili limefanyika arabuni.

Huko Zanzibar ukitaka mifano ya kisiasa, nijuavyo mie waarabu hawavamia Zanzibar kama ilivyofanywa na watu weusi kutoka Tanganyika. Waarabu waliitwa na wazanzibari wakasaidie kumuondoa mreno. Unaujua unyama wanaofanya majeshi ya Tanganyika kule Zanzibar ?

Kutembea tuu ndani ya nchi yake mzanzibari lazima apite kwenye road-block na kuanza kuwa harassed na wakoloni weusi.
 
Gavana
Mkuu nomba kwa Allah! siku akili zikikurudia, na mola kakupa ufahamu wa unachofanya leo walahi utalia machozi ya damu. Lkn siye twadumisha muuungano ata kwa damuuuu! Gatuogopi cheiituu yakheee!
Naelewa ndivyo alivyokuambia Askogu wako Pengo
 
smaki
Ukarimu wa watu weusi:

Bakora tu! Then waenda zao! Tena wanajitetea! Wanabisha! Hiyo ndiyo adhabu ya kizalendo! Duniani kote!

Kuliko risasi za moto! Vitanzi! Kupasuliwa mama mjamzito live ili kujifurahisha, Bora mreno mliye mwalika kupigana naye alikuwa na utu kuliko (Europids) waarabu wa kuchovya. Km Tiptip!
Ulifaidi vya kikoloni hata hujui madhira walopata weusi, Kwa nini mna tamaa ya kupenda vyetu? Tutalinda hatulali
Hata neno "Arabs" siyo asili yenu. Israel ya leo wanajua pale siyo kwenu, ndo maana wabishi kutoka pale!
Angalia mkiwa zanzib mwaitwa wapemba, mkiwa S,africa coloured, sijui latino, mullatoes, nk.

Mkoloni mweupe tena europids???? narudia sijakosea tutalinda muungano wa Africa kwa gharama kubwa sana bora wote tufe tukiulinda. Siyo Zanzibar tu.... Aluta contin...!!!!
 
Pumba tupu, ukiona mtu hakubaliani na mawazo yako unambandika lable ni muarabu. Nilikwambia mwanzoni mimi sio mwarabu wala si mpemba, unaonekana una chuki binafsi na hayo makabila.
 
Labda nikueke sawa tuu ili kwa wasomaji wengine hususan watanganyika wapate kufahamu. Kwanza nikurekebishe kitu kimoja, mimi ni mwafrika na mzaliwa wa Zanzibar. Si mwarabu wala si mgeni barani Afrika kama unavyotaka ifahamike. Juu hapo wala sipingi muungano au mashirikiano miongoni mwa waafrika.

Napenda nikuekee wazi hata Tanganyika na Zanzibar zikiamua kutengana, ni lazima kuwe na mashirikiano. Hili la mashirkiano haliepukiki, kwasababu hizi ni nchi mbili zilizoko karibu sana. Lakini ukaribu wa hizi nchi mbili hauna tofauti na ukaribu wa Zanzibar na Kenya.

Kuna tofauti baina ya muungano, na ukoloni. Huu uliopo sasa wa Tanganyika na Zanzibar sio muungano, ni uhuni au ukoloni. Hili linaonekana zaidi pale mzanzibari anapojaribu kutaka kuleta mabadiliko yoyote ndani ya muungano, ukoloni unakuja wazi. Nadhani mfumo wa sasa Nyerere hakusema wazi tuu, lakini Lukuvi ndio kaja kumaliza.

Semeni wazi tuu, kwamba lengo lenu sio muungano ni kuimeza Zanzibar kuwa sehemu ya Tanganyika. Nadhani hiki mnaona haya na kuanza kusema tutalinda muungano. Kiilivyo muungano ni sababu tuu au kigezo tuu cha kubabaishia.

Wasalaam
 
Back
Top Bottom