Hotuba ya Bajeti ya msemaji Mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni katika Wizara ya fedha na mipango, mheshimiwa Halima Mdee 2020|2021

Pia wanafunzi wanaweza wasimuulize kwa sababu zifuatazo
Mwalimu apendi kuulizwa maswali
Mwalimu amefundisha uongo
Wanafunzi wanaelewa kuliko mwalimu
Wanafunzi wanajua ata wakiuliza bado mwalimu atawadanganya.
Mkuu, Mwalimu ni Mwalimu tu, Hana Jina lingine, yeye ni Mwalimu na nimkufunzi na Kwa bahati mbaya kwamba, Mwalimu hafundishi Hadi akaishiwa, na huwezi kuwa mwelevu kuliko Mwalimu wako
 
Wamekosa cha kukosoa maana wapinzano wa bongo katika medani za kiusalama waitwa Diarrhoea Tangue hawawezi kukaa na jambo kifuani ni kulopoka usiku na mchana

Kwahiyo wapinzani tu ndio huwa wanajadili hiyo bajeti kwa kuikosoa, na watu walio upande wa serikali wao hawana uwezo wowote wa kuijadili?! Kimsingi ni kuwa watu wamepuuza maana wameona sio bajeti bali ni kampeni ya ccm. Matokeo yake ndio hayo hakuna mwenye muda nayo, na hata nyie wanaccm mmebaki kurukia nyuzi nyingine, badala ya kujadili ubora wa bajeti yenu!
 
hawajui kitu kuhusu bajeti wanachoweza kujadili ni mbowe akilewa akiteleza na kuvunjika mguu huo ndio upeo wao

Bajeti unatakiwa kuwa na kichwa kuijadili

Uko sahihi kabisa, tuchukulie hao watu hawana hivyo vichwa vya kujadili bajeti. Tulitarajia ccm huku mitandaoni waonyeshe utofauti wao wa kujadili bajeti. Lakini mbona tunaona hata wanaccm wenyewe hamuijadili ili tuwaige? Wote tuko kwenye nyuzi hizi hizi zinazotugusa na sio hiyo bajeti yenu. Mnakwama wapi? Tuchukulie watu ni wajinga, je huu ujinga umeanza sasa, mbona huko nyuma watu walijadili? Ama tatizo ni mambo ya mvuto?
 
Nimejaribu kupita mitandaoni, hasa Twitter kujaribu kuona reaction ya wadau hasa wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wasomi mbalimbali juu ya Bajeti ya Serikali iliyosomwa jana ila cha ajabu wanajadili au kuongelea maswala mengine tofauti huku Bajeti ya nchi wakiipa kisogo kama vile haipo, wakati kwa kawaida Bajeti inaposomwa tu watu mara moja huanza uchambuzi na mijadala jambo ambalo tangu jana mpaka asubuhi ya leo silioni mitandaoni zaidi ya hapa JF ingawa na penyewe mjadala wake umekosa mashiko kabisa.

Binafsi naona hii ni dalili ya watu kukatishwa tamaa na mwenendo wa Bajeti hizi za serikali kiasi kwamba wanaona mambo ni yale yale hivyo wanaona bora tu. waendelee na agenda zingine.

Anyway, ngoja tuone labda kuanzia leo watu wataanza kujijadili hiyo Bajeti.

Tusubiri hii ya leo ya upinzani labda inaweza kuipiga jeki bajeti ya serikali kwa kuiongezea hamasa japo kidogo.

View attachment 1476053

Link ya Bajeti ya Upinzani:
https://t.co/sXQPPxbbD1?amp=1
Bajeti ambayo ni always shitty one,haina maana kama upumbavu mliopitisha wa kumpa kinga mawe,waziri mkuu,spika,nk..

Hiyo ni crime against humanity!

Bajeti ni very very stupid in this government,ambayo infact haikaguliwi,na CAG akishajenga upumbavu wake bado haijadiliwi Bungeni,then this is nonsense!

Yaani bajeti ijadiliwe halafu matumizi yakishafanyika isijadiliwe kwa lazima,this is crime!

Na pia,bajeti yenu haijadiliwi mjiulize sana,wananchi washakata tamaa,mjadili msijadili wananchi hawana hamu kabisa!

I remember bajeti day ikifika nchi nzima inasimama,ila this regime,bajeti watu walishajikatia tamaa kitambo,nobody cares!
 
Waandishi wa kibongo wavivu sana navile skuhizi watangazaji wengi ni wajanja janja wanajua tuu miziki na kuhoji wasanii hakuna redio yenye mijadala iliyoshiba kuhusu bajeti hata feedback zamaana za michango ya wabunge hupati zaidi masihara na umbra ndiyo husikika zaidi. MTU akisema kianzishwe chuo cha wizi ama bangi iruhusiwe ndiyo kilaredio itatuelezea. Very poor wenzetu msanii anayejiheshimu ndiyo kipenzi chawengi sisi msanii mhuni,mshenzi aliyejaa matusi ndiyo wamaa na hata ubalozi was taasisi muhimu atapewa yeye!!
 
Bajeti ambayo ni always shitty one,haina maana kama upumbavu mliopitisha wa kumpa kinga mawe,waziri mkuu,spika,nk..

Hiyo ni crime against humanity!

Bajeti ni very very stupid in this government,ambayo infact haikaguliwi,na CAG akishajenga upumbavu wake bado haijadiliwi Bungeni,then this is nonsense!

Yaani bajeti ijadiliwe halafu matumizi yakishafanyika isijadiliwe kwa lazima,this is crime!

Na pia,bajeti yenu haijadiliwi mjiulize sana,wananchi washakata tamaa,mjadili msijadili wananchi hawana hamu kabisa!

I remember bajeti day ikifika nchi nzima inasimama,ila this regime,bajeti watu walishajikatia tamaa kitambo,nobody cares!
Kwakweli watu wamekaa tamaa.Bajeti inasomwa utadhani ni Bajeti zingine za kawaida watu hawana habari kabisa.
 
Bajeti hii ni changa la macho. Tulitegemea bajeti hii ije na mpango wa kukamilisha mpango wa pili wa miaka mitano, badala yake imekuja na vioja vya kununua ndege zingine ambazo haziko katika mpango.

Kwa kifupi bajeti hii ni usanii na mpango wa pili wa maendeleo umeshindikana kabisa kutekelezwa !
 
Mkuu, Mwalimu ni Mwalimu tu, Hana Jina lingine, yeye ni Mwalimu na nimkufunzi na Kwa bahati mbaya kwamba, Mwalimu hafundishi Hadi akaishiwa, na huwezi kuwa mwelevu kuliko Mwalimu wako
Mwalimu wangu amemaliza kidato cha nne...mimi nimemaliza Shahada sasa nae anataka nimfundishe aende chuo ...sasa nifanye je maana huyu ni mwalimu wangu naona itaonekana najua kuliko yeye sasa
 
Bajeti hii ni changa la macho. Tulitegemea bajeti hii ije na mpango wa kukamilisha mpango wa pili wa miaka mitano, badala yake imekuja na vioja vya kununua ndege zingine ambazo haziko katika mpango.

Kwa kifupi bajeti hii ni usanii na mpango wa pili wa maendeleo umeshindikana kabisa kutekelezwa !
Kuna uzuri lakini..kusajiri namba mpya za magari T 777 DDD laki 5
 
Ona huyu nae so unataka kuturudisha enzi za mwalimu sio?? Enzi za chama kimoja?? Haya turudi huko enzi za mwalim katiba ilikua inasemaje kuhusu ukomo wa urais?? Ovyo kabisa hii!!!
 
Mimi bana nadhani ni vizuri kukosoa budget lakini comparator pia tutumie the most recent lakini kingine cha muhimu unapokosoa jitahidi kutoa na alternative solution siyo kila kitu mtu anafeli kuna vingine anafaulu..anapongezwa vile anavyofeli anaambiwa alipofeli na anashauriwa namna bora ya kujikwamua.. upinzani siyo uhasi ni kuwa na solution mbadala na bora zaidi..
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom