Hotuba ya bajeti ofisi ya waziri mkuu ni kesho. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya bajeti ofisi ya waziri mkuu ni kesho.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WildCard, Jun 22, 2011.

 1. W

  WildCard JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  -Tutarajie yapi kutoka kwa Mtoto wa Mkulima?
  -Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani ametuandalia lipi?
  -Ataomba Mchakato wa KATIBA mpya uharakishwe?
  -Vita ya posho, mashangingi itaendelea?
  -Vipi upanuzi wa serikali wa kuongeza mikoa, wilaya?
  -Mauaji ya raia yanayofanywa na vyombo vya DOLA je?
  -Uhuru na haki ya kuandamana je?
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Arudishe GX ya millioni 200 kwanza
   
 3. W

  WildCard JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Ah! Hawezi kumuiga Mh Mbowe. Natarajia aifute RUZUKU kwa vyama vya SIASA. Hili litaisaidia CCM kuonyesha inajali.
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Pinda ni muoga sana yaani uwezo wake wa kufikiria ni mdog sanaaaaa...yaani afadhali niangalie futuhi kuliko kumuangalia pinda akisoma bajeti yake
   
 5. W

  WildCard JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kama ni hivo tumwambie KUB aandae hotuba mbadala nzuri.
   
 6. C

  Chipoku Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hah hah haaaa,chukua hiyo : Gx ilikuwa ya 250 mil. Na kashaiacha , sasa ana kitu kama cha mkuu wa nchi cha mwaka 2006 kimenunuliwa 680mil. Pesa za madafu , katibu wake ana lexus silencer ya 300mil. Za madafu , hiyo ya 200mil. Inambeba d**a na k*** wakiambatana nae aidha dom kama hivi au mpanda ! Hawa ni storekipa na dobi wake ! Kiintelijensia zaidi
   
 7. W

  WildCard JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hotuba hii haijaanza? Baadhi yetu tuko mbali na TV na TBC(T) wamekata matangazo ya Bunge.
   
Loading...