Hotfile Auto-Downloader - Fully Automatic Downloads bila premium account

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
NI mara nyingi tumekuwa tukidownload au kuupload mafaili toka kwenye website kama Rapidshare au Hotfile,ila tatizo ni kuwa inatakiwa uwe na Premium account,Kuna hili suluhisho tena kwa freee,kuna hii software inayoitwa Hotfile Auto downloader itakayokuwezesha kudownload files toka hiyo mitandao hiyo automatic bila kukucost chochote....





Hotfile and FreeRapid are two popular desktop clients for downloading HotFile.com files in an automated fashion with minimal user interaction, a new utility has now came-up offering fully automated file downloading for Hotfile free users - simply load the hotfile download links in the software and files will download one-after-another finishing all loaded links without any further user interaction.

Kudownload gonga hapa!
 
Ahsante Kilongwe.
Natumia Window 7 kwenye pc yangu; Imefeli!
moz-screenshot.png
moz-screenshot-1.png
 
Hata mimi ninatumia Window 7 na windows Vista kwenye laptop na zote zinafanya kazi kama kawa,inatakiwa urun kama administrator,right click--.Run as administrator,there u go....
 
Wewe Akthoo jina lako halisi ndio Kazim? Muwe makini mnapoweka path
Ahsante, na nimekuelewa?
Je kuna kosa kujulikana kwa jina lako halisi? Nafikiri tupo Wanajamii wengi tu tunaojuana na kujua nick name za wenzako.
 
Wewe Akthoo jina lako halisi ndio Kazim? Muwe makini mnapoweka path

Sio lazima liwe jina lake sema ni Jina la account kwenye kompyuta husika account unaweza kuitaja kwa jina lolote lile unalotaka hata popobawa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom