Hoteli ya Mgonja? Parrot Hotel

Mtoa mada labda aliminywa kabla hajamalizia story yake, Kwa Arusha, jengo hili linahisiwa ni la Mgonja. nyuma ya hili jengo kuna nyumba za NSSF na kwa taarifa nilizonazo, mmiliki wa jengo hili amezinunua ili kuongeza eneo la car park na tayari wapangaji wa nyumba hizo walipewa notice ya kuhama.
 
mtoa mada labda aliminywa kabla hajamalizia story yake, kwa arusha, jengo hili linahisiwa ni la mgonja. Nyuma ya hili jengo kuna nyumba za nssf na kwa taarifa nilizonazo, mmiliki wa jengo hili amezinunua ili kuongeza eneo la car park na tayari wapangaji wa nyumba hizo walipewa notice ya kuhama.
kama picha la kihindi vile,stering hauwawi anaendeleza ubabe,ndugu yetu mleta mada sijui kazimishwa wapi.
 
Kwa jinsi mtoa mada alivyoelezea nina hakika alikuwa anapekuwa mpaka uvunguni akashtukiwa mapema kabla hajamaliza kazi yake, taarifa niliyopata sasa hivi ni kwamba Wapangaji wa NSSF wote wameshahama hivyo ni dhahiri nyumba zimeuzwa kwa huyu mmiliki wa jengo refu.
 
Kwa sasa nipo Arusha, na nimepita hapo kwenye Jengo muda si mrefu, niliwakuta mafundi wanaendelea na ujenzi. Muda si mrefu mjengo utakamilika.
 
Jamani wana jamvi poleni kwa kusubiri. Sijafa, sijanyamazishwa wala sijakatiwa "mshiko" ili nikae kimya.Issue ni kwamba, mpaka sasa sijaweza ku verify asilimia mia kwa mia taarifa/habari nilizonazo. Kama ningeendelea na hii stori inge bidi nitumie maneno kama "it is alleged", "It is said" "unverified reports claim" Hivyo basi niliona sii vyema kuendelea kuandika bila kuwa na uhakika.Muda wa kufuatililia na ku verify what I have is an issue at the moment. I suggest ajitokeze mtu mwingine a carry on the torch. I will provide him/her with all I have collected.

Ni kweli flats za sorrounding area zimeuzwa kama alivyorepoti mwana jamvi mmoja. Pia ni kweli ujenzi wa jengo um-resume kama alivyorepoti mwingine.

Anayetaka kuendeleza libeneke anipe email yake nitamtumia habari nilizonazo, azi verify then azi post hapa jamvini.

Wasalaam..
 
Huna haja ya kuverify chochote mkuu acha longo longo,we tundikahapa,nani atamshitaki Lifer?Kwanza Mgonja si ni public figure?Ama sheria zetu tofauti?
 
Jamani wana jamvi poleni kwa kusubiri. Sijafa, sijanyamazishwa wala sijakatiwa "mshiko" ili nikae kimya.Issue ni kwamba, mpaka sasa sijaweza ku verify asilimia mia kwa mia taarifa/habari nilizonazo. Kama ningeendelea na hii stori inge bidi nitumie maneno kama "it is alleged", "It is said" "unverified reports claim" Hivyo basi niliona sii vyema kuendelea kuandika bila kuwa na uhakika.Muda wa kufuatililia na ku verify what I have is an issue at the moment. I suggest ajitokeze mtu mwingine a carry on the torch. I will provide him/her with all I have collected.

Ni kweli flats za sorrounding area zimeuzwa kama alivyorepoti mwana jamvi mmoja. Pia ni kweli ujenzi wa jengo um-resume kama alivyorepoti mwingine.

Anayetaka kuendeleza libeneke anipe email yake nitamtumia habari nilizonazo, azi verify then azi post hapa jamvini.

Wasalaam..
acha woga wewe mwaga mboga hapa ubaoni unaogopa nini kama nondo unazo?
 
umesema kweli hata ukiangalia standard yenyewe ya jengo na space / plot yakimaskini tu hiyo huyo sio mlaji katika walaji mlala hoi katika walaji
 
Hivi hili jengo bado linaendelezwa??pamekua kimya sana na naona kama limesimama tena.....au ndio baba Jesca effect??
Nimepita hapo leo,naona hadi mabango wameanza kubanduka.Atakuwa amepatiwa kibano

20201201_163516.jpg
 
Back
Top Bottom