Hoteli ya Mgonja? Parrot Hotel

Hapana nadhani Tuendelee kusubiri, inawezekana anapanga data zake vyema.
 
Shana Boyz enzi zao walikuwa na Maduka ya jumla,Magari na Mabasi ktk mji wa Moshi na Arusha... Nilishangaa kuwa ni nani aliyeporomosha ilo ghorofa ambalo limejengwa chini ya Kiwango kumbe ni wao... Wakishirikiana na Gray???

Ni kweli hilo jengo hata ukiliangalia kwa macho tu unaona kabisa linajengwa chini ya kiwango kinachotakiwa. Haya ndiyo majengo ambayo baadae huwa yanaporomoka na kuua watu.

Tanzania tunawkwnda wapi?
 
watanzania tuache chuki.....huyu aliyejenga hoteli na wale wanaojenga mahoteli dubai na south africa...nani mbaya????

kama ameshajenga hadi amefikia hapo ..ukimsimamisha unafaidika nini...maaana unabaki na gofu tu!........mimi nafikiri kwa hapo jengo lilipofika bora wamuache amalizie hoteli...ataajiri watu,atalipa kodi na at least we will get some returns for our tax money!!
 
watanzania tuache chuki.....huyu aliyejenga hoteli na wale wanaojenga mahoteli dubai na south africa...nani mbaya????

kama ameshajenga hadi amefikia hapo ..ukimsimamisha unafaidika nini...maaana unabaki na gofu tu!........mimi nafikiri kwa hapo jengo lilipofika bora wamuache amalizie hoteli...ataajiri watu,atalipa kodi na at least we will get some returns for our tax money!!

Thanks Mkuu;

Siungi mkono ufisadi asilani, na nilio nao karibu wanajua kwani hata ndugu wa damu sasa hawana hamu nami kwenye kutoa maoni yangu kwao... Lakini kwa hili tuendelee kusubiri lifer aje atupe life story hapa kwanza ndio ju-judge

lakini kwa upande mwingine kuhusu local investors... generally speaking, kuna watanzania wengi wana hoteli hadi turkey, china, canada, london etc. ambao hata siku moja hatuwasemi [ingawa tunawajua].. waliowekeza nje hawatusaidii kitu kwani hata ajira hutoa huko mbali; Hako ka-hoteli pale arusha kangesaidia japo tu-jitu hamsini hadi mia na kuwaondoa kwenye madanguro na makabali ya jioni

Hivi na ile ya mfugale wa peacock imeishia wp
 
Get the great time to finnish the thread na upate muda mzuri wa kupumzika Lifer, we are waiting the movie. well done!!!
 
watanzania tuache chuki.....huyu aliyejenga hoteli na wale wanaojenga mahoteli dubai na south africa...nani mbaya????

kama ameshajenga hadi amefikia hapo ..ukimsimamisha unafaidika nini...maaana unabaki na gofu tu!........mimi nafikiri kwa hapo jengo lilipofika bora wamuache amalizie hoteli...ataajiri watu,atalipa kodi na at least we will get some returns for our tax money!!

...picha bado halijafikia robo unaanza kubashiri mwenendo wa stering??? subiri kwanza tupate full data kisha ndiposa tuanze kutetea au kusilibia (kwa hoja) zaidi...
vipi hauna popcorns?? agizia nitalipa
 
Mkuu hapo umenena kidogo!

Lakini kutokana na taarifa nilizo nazo ni kwamba Parot Hotel inahusishwa sana na Mh. Daniel Yona na sio Mh. Mgonja. Ujenzi wa hotel hii ulianza mwaka 2006 bila kukosea. Kiwanja kilikuwa na matatizo kiasi fulani kwani kulikuwa na barabara iliyotakiwa ikatize katikati ya kiwanja hicho na Arusha Bynight Annex issue iliyoleta mtafaruku kati ya Arusha Municipal na Mmiliki wa kiwanja hali iliyowafanya manispaa wapeleke land surveyors kuhakiki kitu walichoprove kuwa katikati ya hivyo viwanja kulikuwa na barabara lakini upana wake ulikuwa only 2 metres kitu ambacho ni kinyume na sheria za mipango miji. Kwa ufupi barabara hiyo ingekatiza kwenye zile flats za benki na kutokezea kwenye bar za Picnic, Shivas and Mrina, wageni tunaotembelea arusha hizi sehemu tunazifahamu sana.

Then utata ulitokea kwamba Mkandarasi aliyekuwa anajenga jengo hilo ambalo lilitaragiwa kuwa na urefu wa ghorofa 15 na swimming pool kwa juu ambalo litakuwa na offices kwenye ghorofa ya kwanza hadi ya 5 na hotel kuanzia ghorofa ya 6 hadi mwisho hakuwa na sifa stahiki za kujenga jengo kama hilo, issue iliyofanya CRB and its fellow kustopisha ujenzi huo mpaka atakapopatikana mkandarasi mwingine. Kuhusu building permit nadhani ilikuwepo toka ujenzi unaanza ila number yake sikumbuki ngoja nitapitia kwenye kumbukumbu zangu nitawajuilisha.

Na tetesi zilizopo ni kwamba up to this moment Yona alikuwa akienda kuangalia shughuli za ujenzi wakati wa usiku.

Jengo hili lipo mkabala na Blue Rock ya Mr. Mgalla na Golden Rose of Mama Maeda and his son Walter na Jengo hilo jipya ni la Dr. Njau
 
Then kuna hizo tetesi ya Kibo Palace ambayo inamilikiwa na mfanya biashara maarufu wa Mjini Moshi na Mwanza kuwa na ya Mh. B. Mramba. Sasa hawa jamaa wameingia Joint Venture na Nationa Housing wanajenga lile jengo pale opposite na manispaa iliyokuwepo ofisi za tigo zamani. Je Mh. Mramba nae anahusika kwani ujenzi unaonyesha joint venture ya kibo palace na NHC?

Vipi na kuhusu Naura Spring ya Mzee Mrema wa Impala nayo inatetesi kuwa President Musseven nae yupo?
 
Lete News hata mimi nilijua tuu jamaa anatumiwa Haiwezekani NEDCO wauze kienyeji tena wagedai fidia sasa utasema hapo je............... lisemwalo lipo kama halipo malizia..................
 
Golden Rose ninavyofahamu siyo hotel ya Mama Maeda.

Ilijengwa kwa hela hela za mtoto wake aliyekuwa akisoma Urusi na anaitwa Rose.

Wakati wa Ukoministi, alikuwa akifanya biashara kubwa sana kati ya Urusi na West Europe, na wakati huohuo Tanzania na Urusi. Pale uwanja wa ndege walikuwa wakifikiri anafanya kazi ubalozini maana alikuwa anajaza ndege vifaa kibao kutoka Russia. Kumbuka kuwa miaka hiyo, Warusi hawakuangalia sana faida ya abiria na mizigo. Ndege zao mara nyingi zilikuwa zimejaza silaha na hivyo wakati wa likizo, wanakuwa kama vile wanawaachia na wengine wafaidi kidogo. Ndiyo maana wanafunzi wa Urusi walikuwa wakirudirudi sana nyumbani miaka ya 80 kwani bei ilikuwa rahisi sana.

Anyway, turudi kwenye hoteli yetu. Ila hizo nguzo zinaonekana nyembama sana kwa jengo la ghorofa 15. Ndiyo haya majengo ikitokea kituko cha Haiti, hakuna atakayepona humo ndani maana lina-crush utafikiri kipande cha Zege kwenye crushing test.
 
Back
Top Bottom