Hoteli ya kisasa yafunguliwa JKIA huku idadi ya wasafiri ikiongezeka

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,231
50,380
Hoteli hii itakua ya msaada sana hususan kwa wasafiri ambao wanapita/transiting, wafanyi biashara wakuu, na pia wahudumu wa mashirika ya ndege. Hamna haja ya kuhangaika tena, ukifika uwanjani unaingia chumbani humo humo moja kwa moja ukisubiri ndege ikupeleke kwengine.
Wasafiri wanaotumia uwanja huu wameongezeka kwa asilimia 9.7% na idadi yao kufikia milioni 7.1 million mnamo mwaka wa 2016

lazizi.jpg

THE LAZIZI PREMIERE AT THE JKIA IN NAIROBI. PHOTO | DIANA NGILA | NMG

Kenya’s first airport hotel has begun welcoming guests, seeking to cash in on the growing passenger, cargo, and airline numbers at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA).

The 144-room Lazizi Premiere Hotel is located on First Freight Lane inside the JKIA.

It is targeting transiting passengers, airline crews, and business executives on the go.

“This is very strategic because there is no other airport hotel here. We are also targeting those who work in the airport and in the vicinity who can walk in for lunch,” said Kiran Patel, owner of the hotel.

Mumbai-based hotelier Sarovar runs the hotel under a management contract. It currently has a portfolio of four hotels in Kenya including Heron Portico, Zehneria Portico, and the upcoming Tetezi Hometel, owned by lawyer John Mburu.

READ: Indian hotelier Sarovar to open Nairobi budget hotel

The four-star Lazizi airport hotel sits on a 1.5 acre plot. It features three conference rooms targeting business meetings, as well as a rooftop pool, spa, gym, coffee shop, bar, café where guests can while away as they wait for their flights.

Lazizi has employed 165 staff, Mr Patel said. Satya Roychowdhur, an ex- Carlson Rezidor executive, is the general manager at Lazizi.

JKIA passenger traffic grew 9.7 per cent to hit 7.1 million travellers in 2016 according to official data. International travellers – the captive market for airport hotels – make up three quarters of the total passenger traffic according to data from Kenya Airports Authority.

Hilton Garden Inn, another airport hotel located next to JKIA, was expected to open in March 2016, but construction work is yet to be completed.

Airport hotels also profit from events such as flight delays, reschedules or cancelled journeys, which at times force airlines to offer accommodation to distraught passengers.
http://www.businessdailyafrica.com/...s-in-Nairobi/539550-3935776-gcg56z/index.html
 
Kumbe miaka yote hiyo kulikuwa hakuna Hotel Airport wkt Nairobi ni East African hub? Basi wamechelewa sana kwa jinsi Mji wa Nairobi ulivyo muhimu kwa eneo hili nilitegema kuwe na Hoteli tangu miaka ya 60' huko!
 
Safi sana umeanza kuelewa kila tukikuambia wenyewe ndio tunaijenga nchi yetu na haikuwa imejengwa kama mlivyoaminishwa na kukaririshwa na viongozi wenu wa ujamaa kwamba eti Kenya ilijengwa na wazungu tangia miaka ya ukoloni.
Haya yote unayoyaona tumeyajenga kwenye enzi za mweusi. Kasi tuliongeza baada ya kukipiga chini chama dhalimu cha KANU kilichotutawala tangu uhuru, japo kwenu huko mnang'ang'ania kudumisha chenu cha CCM, siku mtaamka na kukibadilisha ndio mtaweza kwenda kwa kasi inayokaribia ya kwetu. Najua wewe mtu wa Kolominje ni mmojawapo wa wafuasi sugu, hivyo haya yote ni kama kumpigia mbuzi guitar.

Hizi hapa baadhi ya vitu ambayo tumefaulu kufanikisha baada ya kuondoa chama hicho.

thika-road-goood-laxiaafrica.jpg

thika-superhighway-naibuzz-e1444492664374.jpg

7743715966_353d6f3564_b.jpg

SGR-MOMBASA-BRIDGE.jpg

Excusive-photos-of-Locomotives-Delivery-Ceremony-of-the-Standard-Gauge-Railway-Project-SGR-Kenya.jpg

vds_uhuru_sgr.jpg

sgr.jpg
 
Nimekuuliza swali wewe unalete jibu lingine lisilohusiana kabisa, ndiyo shida ya kwenda Shuleni miaka yote kujifunza Kiingereza tu halafu mwisho wa siku mnajua Lugha lkn kichwani hamna akili hata tu ya kusoma na kuelewa ulichoulizwa!
 
Hehehehe!!! Hukuuliza swali, ulifanya kushangaa kwamba Kenya ndio inafanikisha mambo mengine ambayo uliaminishwa kwamba yapo tangia miaka ya 60 wakati tukiwa kwenye utawala wa mkoloni.

Kingereza ni muhimu sana, kinapanua uelewa wa mambo maana ndio lugha ya dunia, kwenu hapo japo mnajifanya kukichukia baada ya kushindwa kukitumia, ndio kimefunika kila kitu mlicho nacho, sheria na maandiko na stakabadhi muhimu ikiwemo mikataba yote mumeandkiwa kwa hicho hicho Kingereza. Aisei mnapata tabu sana msiokijua kukitumia.

Huwa mnataka kujifananisha na Wajapan, Wachina na Wajerumani eti kwamba wao wanatumia lugha zao, kumbuka wale walijiboresha miaka mia kadhaa iliyopita, sio kama nyie bado mnaagiza sindano leo na kutaka kujiweka kwenye level moja na tamaduni za watu waliojijenga miaka zaidi ya mia tano iliyopita.
Kiswahili hiki tumekibuni kwa kutumia Mwarabu na baadhi yetu tukaiga uvivu na uzembe wake mwarabu, kazi yake kulea mindevu kule jangwani wala hajitumi kwa chochote.
 
Inahuzunisha kuona ni hoteli ya Mhindi na sio Mweusi. Ugonjwa wetu wa kuwaachia Wahindi sehemu nyeti kama hizi sijui utatibika lini. Duty-free shops za airport zetu nazo unakuta ni za Wahindi.
 
Haijalishi hata kama mwwekezaji atatokea sayari ya Mars, cha msingi ni ashushe hayo mamilioni basi, ameweka mzigo umetulia na kung'aa kwenye nchi yetu. Tunaendelea kuwaalika wawekezaji waje, ukiweza wewe mweusi njoo pia tunakualika.
 
Nenda na wewe kawekeze India basi.
 
Hongereni sana, hata sisi tuna yetu mazuri mengi, hatusemi tu.

Vipi uchaguzi, unataka nani ashinde MK254?

Kenya huwa tuna ushindani mkali sana na ni vigumu kutabiri nani atashinda, ili ushinde urais Kenya lazima uwaeleze wananchi wakuelewe. Juzi kwenye kura za mchujo wameangushwa mibabe wa siasa, wengine hata wandani wa rais Uhuru na Raila Odinga.
Binafsi mimi ningependa kuona rais Uhuru akiendeleza haya mambo anayoyafanya kwenye nyanja za uchumi, lakini nina kura moja tu, hivyo mamilioni ya Wakenya wezangu nao watafanya maamuzi yao siku ikifika na ikitokea Uhuru atashindwa, basi nitamuunga mkono rais wetu mpya na kumpa ushirikiano katika kuboresha nchi zaidi. Nitakua hapa JF nikiweka mabango ya jinsi nchi yetu inapiga hatua.
 
Nenda na wewe kawekeze India basi.

Ubavu huo sina, hivyo nategemea wao waje maana walijiandaa tangu zamani, Afrika ndio tunaendelea kuijenga. Wewe hapo Mtanzania kabla hajaja mgeni kukuambia una gesi, wewe ulikua unalima mihogo na korosho hayo maeneo ya Mtwara. Hivyo tuendelee kuwaalika tuungane nao katika kuijenga Afrika.
 
Hehehehe!!! Hukuuliza swali, ulifanya kushangaa kwamba Kenya ndio inafanikisha mambo mengine ambayo uliaminishwa kwamba yapo tangia miaka ya 60 wakati tukiwa kwenye utawala wa mkoloni.

Kingereza ni muhimu sana, kinapanua uelewa wa mambo maana ndio lugha ya dunia, kwenu hapo japo mnajifanya kukichukia baada ya kushindwa kukitumia, ndio kimefunika kila kitu mlicho nacho, sheria na maandiko na stakabadhi muhimu ikiwemo mikataba yote mumeandkiwa kwa hicho hicho Kingereza. Aisei mnapata tabu sana msiokijua kukitumia.

Huwa mnataka kujifananisha na Wajapan, Wachina na Wajerumani eti kwamba wao wanatumia lugha zao, kumbuka wale walijiboresha miaka mia kadhaa iliyopita, sio kama nyie bado mnaagiza sindano leo na kutaka kujiweka kwenye level moja na tamaduni za watu waliojijenga miaka zaidi ya mia tano iliyopita.
Kiswahili hiki tumekibuni kwa kutumia Mwarabu na baadhi yetu tukaiga uvivu na uzembe wake mwarabu, kazi yake kulea mindevu kule jangwani wala hajitumi kwa chochote.
Mimi sio mkenya lakini umeeleweka
 
Tanzania kama nchi tutaendelea kuwa hapa tulipo sababu ya upuuzi wetu wa kukumbatia ccm
 
Safi sana umeanza kuelewa kila tukikuambia wenyewe ndio tunaijenga nchi yetu na haikuwa imejengwa kama mlivyoaminishwa na kukaririshwa na viongozi wenu wa ujamaa kwamba eti Kenya ilijengwa na wazungu tangia miaka ya ukoloni.
Haya yote unayoyaona tumeyajenga kwenye enzi za mweusi. Kasi tuliongeza baada ya kukipiga chini chama dhalimu cha KANU kilichotutawala tangu uhuru, japo kwenu huko mnang'ang'ania kudumisha chenu cha CCM, siku mtaamka na kukibadilisha ndio mtaweza kwenda kwa kasi inayokaribia ya kwetu. Najua wewe mtu wa Kolominje ni mmojawapo wa wafuasi sugu, hivyo haya yote ni kama kumpigia mbuzi guitar.

Hizi hapa baadhi ya vitu ambayo tumefaulu kufanikisha baada ya kuondoa chama hicho.

thika-road-goood-laxiaafrica.jpg

thika-superhighway-naibuzz-e1444492664374.jpg

7743715966_353d6f3564_b.jpg

SGR-MOMBASA-BRIDGE.jpg

Excusive-photos-of-Locomotives-Delivery-Ceremony-of-the-Standard-Gauge-Railway-Project-SGR-Kenya.jpg

vds_uhuru_sgr.jpg

sgr.jpg

Unajitekenya mwenywe halafu unacheka... Uhuru ni zao la KANU na KANU ilianzishwa na Baba yake. Hata yeye Uhuru alishagombea Uraisi kwa tiketi ya KANU akashindwa ndio wakatafuta Brand ingine but are the same KANU`S . Hivyo km ni credit wape kwanza KANU maana wao ndio wamerudi kivingine
 
Back
Top Bottom