Hoteli ya Golden Tulip yadaiwa kurudisha fedha za CHADEMA walizolipia ili kufanya kikao cha Kamati Kuu katika hoteli hiyo

hivi tu hawana jengo mnashinda mnawakamata na kuwapiga virungu..
.
wangekuwa na hilo jengo si mngewavizia siku moja wakiwa ndani, mkawafungia kwa nje na kuwachoma umo umo wateketee wote
Hayo ni mawazo yako tu. Kuwa na jengo ni solution ya matatizo yao ya kukodi kumbi kila mara kwenye mahotel.
 
Na wewe unaunga mkono hiyo dhambi ya kibaguzi? kwani wanalipa au hawalipi
Tatizo sio kulipa,tatizo chama kikubwa kama hicho kinakodi ukumbi?Ruzuku wanapeleka wapi?mpaka leo wamepanga kwenye nyumba ya Mtei eti ndo makao makuu ya chama. Chama hakina Vision hakina strategies,hakina plans. Acha waendelee kuaibishwa.
 
Hata aibu hamna. Ruzuku zote hizo mmeshindwa kujenga jengo kubwa ambalo kungekuwa na ukumbi wa mikutano. Halafu ndo mnategemea mchukue nchi hata chumba cha mikutano hamna. Foolish.
Nioneshe jengo LA ccm
 
Msilaumu wamiliki wa Hotel hiyo isipokuwa yule aliyewatolea vitisho. Ushamba uliotamalaki wa kisiasa
 
Rudia tena,siyo misaada sema mikopo na tunailipa. USA wenyewe wanakopa sembuse Tanzania?
Wahisani wanatoa mikopo au misaada?!!! Hivi mwaka Jana bajeti yetu ilikuwa na deficit kwa kukosa mikopo au misaada kutoka kwa wahisani hebu nisaidie hapo Dada.
 
Sikujua kuwa na wewe ni ziro brain kiasi hicho, ukumbi hata ukiwa wa marmar inasaidiaje kuongoza nchi?
Ngoja niishie hapa tuu
Huwezi jua maana upeo wako wa kufukiria ni mdogo. Upo deep kwenye kijiko. Mtu anapata ruzuku kashindwa kujenga jengo la ofisi lenye kumbi ya mikutano. Atajenga nchi kubwa kama Tanzania kweli? Kasome wale waliopewa taranta kuna mmoja alipewa moja akaizika. Ndo hawa Chadema wanapewa ruzuku hata jengo hawana. Matokeo yake wanarudishiwa pesa na wenye kumbi zao.
 
Hata aibu hamna. Ruzuku zote hizo mmeshindwa kujenga jengo kubwa ambalo kungekuwa na ukumbi wa mikutano. Halafu ndo mnategemea mchukue nchi hata chumba cha mikutano hamna. Foolish.

Na huu ndio utetezi wako unao justify watu kunyimwa ukumbu wa hoteli kufanya kikao halali?

Aisee mnasikitisha!

Akili na kujenga hoja mmeweka mifukoni?
 
Back
Top Bottom