Hoteli ya Golden Tulip yadaiwa kurudisha fedha za CHADEMA walizolipia ili kufanya kikao cha Kamati Kuu katika hoteli hiyo

Afadhali umemwambia huyo bimkubwa
With due respect, I am sorry this is too low for you madam! Seriously, kwa sababu wamerudishiwa fedha zao hawana sababu ya kulalamikia kubaguliwa katika nchi yao! Si huu ubaguzi ndio uliofanya wazee wetu wakatae ukoloni? Haya mambo ndiyo yanaivuruga ccm. Kuna watu wameshindwa kuvumilia.
 
Kukuza uwezo wa chama katika kuendesha shughuli zake ni pamoja na kujenga ofisi ya chama yenye chumba cha mikutano.Sasa ofisi yenyewe ilikuwa nyumba ya Mtei ilijengwa kwa sababu ya makazi ya familia na siyo matumizi ya ofisi. Amkeni.
Nimegundua sio level yangu ya Ku urgue nawe. Wewe tukutane jukwaa la wakubwa waweza kunipa uzoefu kidogo na nikakuelewa.
Haya masiasa waachie wengine!
 
Ccm mpya with roho mbaya mpya. Watu wanalipa pesa ili ilete maendeleo, wajinga mnaikataa?
 
Hata aibu hamna. Ruzuku zote hizo mmeshindwa kujenga jengo kubwa ambalo kungekuwa na ukumbi wa mikutano. Halafu ndo mnategemea mchukue nchi hata chumba cha mikutano hamna.
Upinzani unajimaliza wenyewe tuuh..!

Kuna muda huwa najiuliza hivi Mnyika, Lissu, Mdee, Ester Matiko, Bulaya, Baregu, na wengine kibao Mbowe sitaki ata kumtaja wameshindwa kuendesha CHADEMA...??
 
Upinzani unajimaliza wenyewe tuuh..!

Kuna muda huwa najiuliza hivi Mnyika, Lissu, Mdee, Ester Matiko, Bulaya, Baregu, na wengine kibao Mbowe sitaki ata kumtaja wameshindwa kuendesha CHADEMA...??
Chadema ina mwenyewe Kaka. Ile ni Saccos ya Mtei family.
 
Nimegundua sio level yangu ya Ku urgue nawe. Wewe tukutane jukwaa la wakubwa waweza kunipa uzoefu kidogo na nikakuelewa.
Haya masiasa waachie wengine!
Tukubali kutokukubaliana,haya tukutane baadae JLW.
 
With due respect, I am sorry this is too low for you madam! Seriously, kwa sababu wamerudishiwa fedha zao hawana sababu ya kulalamikia kubaguliwa katika nchi yao! Si huu ubaguzi ndio uliofanya wazee wetu wakatae ukoloni? Haya mambo ndiyo yanaivuruga ccm. Kuna watu wameshindwa kuvumilia.
Na wewe nae hata unachokisoma huelewi. Nani kaongelea kulalamika? Umeiona hiyo heading? Eti "inadaiwa"! Kuna nini cha kudaiwa ikiwa pesa zimesharudishwa?

Pathetic.
 
Hata aibu hamna. Ruzuku zote hizo mmeshindwa kujenga jengo kubwa ambalo kungekuwa na ukumbi wa mikutano. Halafu ndo mnategemea mchukue nchi hata chumba cha mikutano hamna.
Nyie mmejenga kwa pesa yenu?
 
CHADEMA!! Masikitiko. Kuna watu walikwenda shule,lakini akili wakaziacha shuleni. CCM bado chama kubwa. CHADEMA ni mpango wa mjini,lakini si kwa awamu hii
 
Mbona bichwa lako la habari haliendani na utumbo wako wa habari?

Kama pesa zimerudishwa sasa wanadai nini tena?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Alafu na wewe Hajjat kua na adabu please. Watu wanalalanika kubaguliwa na wewe una wajibu kipuuzi hivo!!! Ndio maana wale wajinga wenye hio Golden Tullip wako mahabusu keko mwezi unakaribia kuisha sasa. Mashtaka 21 wakiyanusurika sijui.
 
Back
Top Bottom