Hoteli ya Golden Tulip yadaiwa kurudisha fedha za CHADEMA walizolipia ili kufanya kikao cha Kamati Kuu katika hoteli hiyo

By Boniface Jacob kupitia twitter:

Hotel ya GOLDEN TULIP, City Center ilikubali kupokea pesa ya CHADEMA kwa ajili ya Kufanya kikao cha Kamati kuu June 27-28 june 2019. Ghafla Meneja akarudisha pesa za CHADEMA wenye hoteli wamekataa CHADEMA wasitumie hotel yao .Tukabaguliwa kisiasa wanachadema tuamke tusikubali.

View attachment 1174834
Jengeni huo ndio ujanja mtakodi hadi choo ofisi hakuna iwe ukumbi mtasubili sana dawa kujenga jengo lenu hapo ndio mwisho Wa mambo yote hamuoni ccm wana kila kitu hadi ikulu wana ukumbi ukienda Dodoma upo Lumumba upo shida kwenu Kazi yenu kulalama kama kila siku chadema vip
 
Back
Top Bottom