Hoteli ya Afrika Kusini ni ya Mkapa au serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoteli ya Afrika Kusini ni ya Mkapa au serikali?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Boniface Evarist, Jun 22, 2011.

 1. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nauliza wana JF angalau nipate ukweli hapa. Nasikia serikali ya awamu ya tatu iliwekeza nchini Afrika Kusini, je ni kweli? Hoteli inaitwaje? Na mmiliki ni serikali yetu au Rais mstaafu?

  Naomba kueleweshwa hili jambo kwani kuna kipindi minong'ong'ono ilitanda hasa miaka ya 2005 na 2006.
  Kama unajua lolote kwa hili 2saidiane hata ilipo kusudi 2kienda huko pengine 2kachangie pato kwa kufikia hapo!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  we si ndio ulipaswa uje na details zote.
  Kama hujui hoteli inaitwaje utaletaje mada mezani tuijadili?
   
 3. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Bujibuji ni swali si maada nimeuliza nikitegemea wenye details watanielewesha!
  Au JF ni mwiko kuleta swali ama dukuduku kwa lugha nyingine?
   
 4. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ya mkapa
   
 5. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asante Smartboy, japo kwa ufupi ungenipa maelezo kidogo! Kama huyu Mr. Clean (wanavyomwita) alifungua kwa ufisadi au kihalali?
  Kisiasa ana maana gani kufungua nje ya nchi yake au ndo aonekane hakufanya biashara ikulu?
   
 6. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kamuulize mkapa au serikali
   
 7. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Bila shaka Mkapa ndiye alikuwa kinara kuuza na pengine kujiuzia mashirika ya umma haingii akilini kwamba baada ya kumaliza kuuza kilichokuwepo nchini kwa jina la ubinafsishaji aiingize serikali kwenye biashara hiyo hiyo aliyoikataa bongo akaifanyie sauzi.
  Kama kweli ipo ni ya kwake binafsi
   
 8. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa taratibu na msimamo wa serikali yetu ni kuwa serkali haifanyi biashara kwa hiyo haiwekezi kwenye biashara yo yote. Kwa msingi huo tupo wote hapo kwenye red. Ila hapa

  JF pamoja na zoezi la Mkapa kubinafsisha mali za serikali naomba mzamie ndani ya swala lenyewe. Kwa mfano nyumba na viwanja vya Shirika la Posta na simu walionazo au tutumie lugha laini; waliouziwa ni viongozi wote tena nasisitiza woote ni wa Chama cha Magamba. Mfano tu Muulizeni Lukuvi kama hajanunua Ghorofa lililojengwa kwa pesa za umma kupitia shirika la Posta. Na pesa yenyewe ni mpango mzima uliolazimisha benki ziwakopeshe kwa lazima.

  Kwa hiyo si Mkapa peke yake aliyenufaika na zoezi la "kuuza na pengine kujiuzia mashirika ya umma" bali ni zoezi lilotekelezwa kitaasisi na taasisi yenyewe ni Chama Cha Magamba. Kitu ambacho utakiona wanavyopotezea hoja zinazoelekeza kwenye kilio cha rasilimali za taifa.
   
 9. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna mwingine ni yeye uliyemtaja. Ksichojulikana ni kashrikiana na nani.
   
 10. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  mkapa hana hoteli wala genge huko South Africa. Hizo zilikuwa ni kampeni chafu tu za kuwafanya Watanzania wawe busy kujadili hoja zisizo na maana wakati wajanja wana fanya transactions kubwa kama za Richmond. Kwa kweli ziliondoa attention ya Watanzania mara wakakurupuka tu kumrushia mzee wetu bingwa wa kujenga uchumi imara na miundo mbinu sahihi kuwa eti ni fisadi. Ukitaka kujua kama ana hoteli ni sahihi tu. Nenda kwa Msajili wa Majina ya Biashara na Makampuni ya RSA kaulize. Kinyume chake ni majungu yasiyo na tija ambayo yanapoteza muda wetu tu na kujaza bytes kwenye RAM ya JF
   
 11. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sema mzee wako Fisadi. Eti kajenga uchumi au kauza migodi nae akachukuwa mgodi wa kiwila ukamshinda, MKAPA na KIKWETE ni Wote ni vilema wa fikra
   
 13. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #13
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280

  Ya Mkapa tulishaayaona.....hoja iliyoko mezani ni ya KIKWETE ....na wanamtandao wake .....wanaogombea kula pasi ya kunawa...USHIRIKA WA WANGA HUWA HAUDUMU!

   
 14. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #14
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280

  Stux ..that is the blood reality ...kikwete ana kisasi sana ...alipoingia alikuwa anajisifu kwa marafiki zake ...kuwa anataka amuoneshe mkapa na clonies wake kuwa he is the best president...na mkakati wa kwanza aliochagua ulikuwa ni ku undermine kila alichokifanya mkapa....ikiwemo kumpuuza ...na kutuma watu wake wamchafue magazetini....na hata kukodi watu wamsubiri akitoka nyumbani kwake Masaki wamzomee...,na kesho yake inatoka gazetini....
  Ulikuwa ni wakati wa majaribu makuu kwa mkapa ,lakini kwa kuwa alikuwa anapewa ripoti yote na watu wa TISS ambao hawakupenda vitendo hivyo alivumilia ...na kwa wakati huo akatumia muda mwingi kukaa shambani kwake Lushoto au Nanyumbu...kama akiwa nchini..hata vikao vya chama akawa haendi...Ukweli haikupita miaka 3 tangu uchafuzo uanze .....Watu wakaanza kumkumbuka mkapa....na umaarufu wake ukaanza kupanda...watu wakagundua kuwa walikuwa wanalishwa propaganda..waliokuwa wanamchafua wakaanza kumkimbilia kwa ushauri...na hata kauli zake zikaanza kuchukuliwa kwa uzito mkubwa.

  Kikwete amepoteza muda na resources nyingi wakti wa utawala wake kufanya malumbano au kuachia malumbano yasio na tija....miaka minne ya ya mwisho ya awamu yake ya kwanza tumeimaliza kujadili RICHMOND....TUMEINGIA second term at least Richmond wamenunua wamarekani imepoa.....hoja kubwa ni SUCCESSION ,na wanaogombana ni hao hao marafiki zake ...na yeye akishabikia..akiwa hana la kufanya.

  Kikwete bado anazo ndoto za maendeleo ,kwa mfano anataka historia imkumbuke kama rais aliyejenga bara bara nyingi kuliko yeyote[dalili ya kuendelea kushindana na mkapa ..for which is good for a nation if its in good cause]...,anataka atuachie RELI mpya Ya kati..yenye gauge kubwa...,anataka aache reli inayoungana mpaka Rwanda /Burundi........,anataka ajenge viwanja vya ndege....na bandari..KATIBA MPYA..KWELI KAMA AKIWEZA KUYAFANYA HAYO ....ATAONDOKA KWA HESHIMA......Nina shaka na mwenendo wa serikali kwa ujumla kama kweli utaweza kutekeleza AHADI za rais kwa wananchi wake kabla ya mwaka 2015...

  LETS GIVE HIM THE BENEFIT OF DOUBT!!!
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2017
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Flashback
   
 16. Troll JF

  Troll JF JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2017
  Joined: Feb 6, 2015
  Messages: 6,447
  Likes Received: 9,322
  Trophy Points: 280
  Vijana wa CHADEMA bhana

  -Hotel inaitwaje?
  -Inamilikiwa na nani?
  -Una Certificates of incorporation?
   
Loading...