Hoteli/Lodge/Guest house karibu na Uwanja wa Ndege JN

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,855
8,253
Wandugu anyejua Hotel/Lodge au Guest house iliyopo na karibu na Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere ambayo ni salama ,karibu na usafiri wa usiku unapatikana nina mgeni wangu anaondoka mida ya saa 10 alfajiri na mwenyeji wake nakaa mbali na Uwanja wa Ndege
 
Ipo inaitwa FQ AIRPORT HOTEL..ipo Karakata na ni mwendo wa kutembea kwa miguu mpaka Airport....unapoteremka kotuo cha Airport uliza
 
Nashuru mkuu kwa ujulisho nitamwambia mgeni wangu aje hapo
 
Wandugu anyejua Hotel/Lodge au Guest house iliyopo na karibu na Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere ambayo ni salama ,karibu na usafiri wa usiku unapatikana nina mgeni wangu anaondoka mida ya saa 10 alfajiri na mwenyeji wake nakaa mbali na Uwanja wa Ndege
Kwahiyo utapanda ndege?
 
Ila mwambie hapo FQ aandae 50K.. Asije akadhani hiyo ni hotel kama zile za vichochoroni...
Eh du 50K sawa kweli si mchezo lakini uzuri wake hiyo ataimudu ila ikiwa zaidi ya hapo ndio itakuwa shida asante kwa taarifa.
 
Ndege za mida hiyo bila shaka ni nje ya nchi so sidhani hata akiambiwa chumba ni 100k kama atashindwa......safari njema
 
Kwa mida ya saa 10 alfajiri itabidi tena achukue taxi. Vinginevyo ajiandae na vibaka. Ni bora alale hapo hapo airport kuna wacongo na wacomoro kibao watampa kampani mpaka mida hiyo. ATC, the land of Kilimanjaro, Serengeti & Zanzibar.
 
Asante kwa tahadhali nilikuwa sijui hilo nitaangalia fwasi aliyonayo.
 
mpwaaahata JF wazeewakazii wapoo
Chekina hawavijana kwatax wanaakuja mpaka usiku

Tax moshirooo 0713364398

0755309880 mpwa
 
Asante kwa tahadhali nilikuwa sijui hilo nitaangalia fwasi aliyonayo.
Hahahaaaaa aiseeeee usikuuukwa pikpik normal kunajamaaa anapanga akitoaaa akyoo kurudisha anaitwaa RAMBO

WARNING MKIINGIA KWA TAX LOCK PANDISHA KIOO PLS
 
Back
Top Bottom