Hotel na Guest za Ghorofa Zenye Tinted Manzese Balaa!

Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,695
2,553
Jana jioni mida ya saa moja na nusu hivi palikuwa balaa na foleni kubwa mtaa ule wa tip top baada ya wananchi na wapita kujaa barabarani na kushangilia kile kilichokuwa kinatokea katika moja ya chumba cha hotel ghorofa kama ya nne hivi.

Jamaa alikuwa akiibanjua amri ya sita na kuamini kabisa yuko faragha kumbe alikuwa yuko nje na akitoa burudani kwa odience ya kutosha na kushangiliwa ile mbaya, yaani ilikuwa drive in flani ya enzi zile kwa wenyeji wa Dar. Binafsi nilijisikia vibaya kwani watazamaji ilikuwa na watoto pia halafu kwetu uswazi.

Hala hala wateja wa guest madirisha ya vioo na mko ghorofani, chabo za namna hii hazinogi sana. Jamaa alistuliwa baadae sana na kufunga pazia lakini aliiacha gumzo kubwa, mie mambo ya kikubwa najua iko na forum yake sasa hii ya manzese sijui ndio jana tu au kuna ambaye alishaona.

Inawezekana kabisa jamaa aliingia jioni na kuanza uchakachuaji wake lakini vioo hivi mchana wa nje haoni ndani balaa usiku ukiwasha taa.

Ghorofa ya NNE?? Mtu aliye chini anawaona walio kitandani ghorofa ya NNE?? HERI! Tanzania tumeanza kuwa warefu....!

Jana jioni mida ya saa moja na nusu hivi palikuwa balaa na foleni kubwa mtaa ule wa tip top baada ya wananchi na wapita kujaa barabarani na kushangilia kile kilichokuwa kinatokea katika moja ya chumba cha hotel ghorofa kama ya nne hivi.

Jamaa alikuwa akiibanjua amri ya sita na kuamini kabisa yuko faragha kumbe alikuwa yuko nje na akitoa burudani kwa odience ya kutosha na kushangiliwa ile mbaya, yaani ilikuwa drive in flani ya enzi zile kwa wenyeji wa Dar. Binafsi nilijisikia vibaya kwani watazamaji ilikuwa na watoto pia halafu kwetu uswazi.

Hala hala wateja wa guest madirisha ya vioo na mko ghorofani, chabo za namna hii hazinogi sana. Jamaa alistuliwa baadae sana na kufunga pazia lakini aliiacha gumzo kubwa, mie mambo ya kikubwa najua iko na forum yake sasa hii ya manzese sijui ndio jana tu au kuna ambaye alishaona.

Inawezekana kabisa jamaa aliingia jioni na kuanza uchakachuaji wake lakini vioo hivi mchana wa nje haoni ndani balaa usiku ukiwasha taa.
Uongo uliokomaa!!! Ghorofa ya nne mtu uonekane live!!! Hii sasa kali, labda ni kuyafungia mwaka 2010

Hii story sidhani kama ni reliable! unless jamaa alikuwa ktk balcony! Wajua ghorofa ya nne ni kama 5 floors up?

Jana jioni mida ya saa moja na nusu hivi palikuwa balaa na foleni kubwa mtaa ule wa tip top baada ya wananchi na wapita kujaa barabarani na kushangilia kile kilichokuwa kinatokea katika moja ya chumba cha hotel ghorofa kama ya nne hivi.

Jamaa alikuwa akiibanjua amri ya sita na kuamini kabisa yuko faragha kumbe alikuwa yuko nje na akitoa burudani kwa odience ya kutosha na kushangiliwa ile mbaya, yaani ilikuwa drive in flani ya enzi zile kwa wenyeji wa Dar. Binafsi nidu kiingilio bure vp jamaa alikuwa anayaweza au

Afu mida iyo ni kawaida Tip Top Kukuta foleni, sasa kama jamaa anasema foleni imesababishwa na mambo yetu hayo vi kuhusu siku zingine.

Nakubaliana kabisa na watoa hoja, lakini nahakika mapapalazi walikuwa kazini mida ile watatoa detail, lakini kuona ghorofani mpaka uwe mrefu? sio ukikaambali pia utaona kama ukiwa tiptop na ukakaa barabarani madirisha makubwa unaona clear bila chenga, just matter of time utasikia from other source.

Back
Top Bottom