Hotel levy

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Nimeelezwa na Ndugu yangu kuwa Hotel levy au Service Levy ya Hoteli pia imefutwa?. Naomba kwa mtu aliyefuatilia bajeti anipe jibu.
 
Yes...sasa ni kuishi guest badala ya kupanga nyumba...maana kodi za nyumba zinaongezeka...
 
Haa hii ndo mbowe aligoma kuilipa pale aishi hotel mapaka mkuu wa wilaya ya HAI akaingilia kati hivi hii ni kubwa sana mpaka mheshimiwa anashindwa kuilipa?
 
Mbowe katokea wapi huku...amjuii RC WA JRO ASHACHAGULIWA
AMKENI BANA
 
Back
Top Bottom