MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Nimeshangazwa sana na hali ilivyo sasa ya hotel ya Embassy. Nashindwa kuelewa serikali imeitelekeza hii hotel, au kitu gani kinaendelea ndani ya hilo jumba.?
Mkuu siyo Embassy peke yake..hata iliyokuwa Agip Hotel nayo imegeuka gofu. Sijui nani ni wamiliki