jean pierre
Member
- Mar 6, 2015
- 15
- 2
Naomba usaidizi nasafiri Kampala wiki ijayo ningependa usaidizi kujua guest za bei ya mwananchi wa kawaida Kampala mjini ni zipi na forex bureau zenye rates poa
Fafanua vzr hapo aiseeGalaxy wapo poa. Ex rate nzuri ipo mpakani .
we upo wapi.
Kama ni kanda ya ziwa ,ela tunaacha kwa Hadija Mwanza , kisha tunasafiri free , ukifika kap city unachukua mzigo wako.
Kuna ofisi zinazodili na Pesa, Unakabidhi Pesa ya Kitz nchini TZ, Kisha unapewa receipt, Then utaikuta hela yako uganda au ukifika uganda unanunua mzigo kisha wao , wanaenda kwa hadija wa uganda kulipwa hela zao ,ulizoziweka wewe Tanzania. Tunafanya hivi kuepusha watu kutekwa na kupoteza mitaji yao.Boss NYANYADO fafanua hapo kuacha hela kwa Hadija
Kwani huko Uganda kuna utekaji unaendeleaKuna ofisi zinazodili na Pesa, Unakabidhi Pesa ya Kitz nchini TZ, Kisha unapewa receipt, Then utaikuta hela yako uganda au ukifika uganda unanunua mzigo kisha wao , wanaenda kwa hadija wa uganda kulipwa hela zao ,ulizoziweka wewe Tanzania. Tunafanya hivi kuepusha watu kutekwa na kupoteza mitaji yao.
Wapi?
Kwa hadija,
Galaxy,
Kap city.
Mkuu Mtafiti77 nilichokielewa mm ni kuwa kama wewe ni mfanyabiashara na unaenda Uganda kufunga mzigo basi kwa usalama wako fedha yako ni bora ukaiweka Bank kwa Hadija, bila shaka yeye anachukua commission yake kidogo, ila wewe ukifika Uganda unaenda dukani ama sehemu maalumu ku withdraw hela yako. Hii inakuweka safe na hasa ukiwa njiani na magari kutwekwa ama kuporwa na vibaka ukiwa safarini ambapo kesi ni nyingi
Hiyo staili ya kwa Khadija imenipa tafakuri ya aina yake. Ninadhani uliyeidokeza ungepoteza muda wako kidogo uiweke sawa zaidi. Ninakiri kuwa umeiongea lakin kwakweli umegusia tu. Bado sijakupata hapo miamala inavyofanyika.
Swali la ziada kwa wazoefu,
Hivi bado hapa Afrika mashariki siwezi kwenda nchi ya jirani kama hivyo Uganda, nikaweza kutumia miamala ya kifedha kupitia simu yangu ya mkononi?
Unaweza mpesa/ safari comSwali la ziada kwa wazoefu,
Hivi bado hapa Afrika mashariki siwezi kwenda nchi ya jirani kama hivyo Uganda, nikaweza kutumia miamala ya kifedha kupitia simu yangu ya mkononi?
Dar Es salaam hotel pia watz wengi hufikia hapo.Ww kama unaenda kampala ww nenda na pesa yako mkononi au weka hata tigo pesa au mpesa usalama kule upo wa hali ya juu sana ukitaka kutoa pesa mpesa au tigopesa unatoa muda wowote ule mm ninauzoefu wa miaka miwili uganda na guest ziko nyingi tu pale town kwa bei chee kuna moja inaitwa bamako room 50000 uganda shilingi ukitaka maelezo zaidi nicheki
Ww kama unaenda kampala ww nenda na pesa yako mkononi au weka hata tigo pesa au mpesa usalama kule upo wa hali ya juu sana ukitaka kutoa pesa mpesa au tigopesa unatoa muda wowote ule mm ninauzoefu wa miaka miwili uganda na guest ziko nyingi tu pale town kwa bei chee kuna moja inaitwa bamako room 50000 uganda shilingi ukitaka maelezo zaidi nicheki