Hot or not: Kim K's white dress

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
[h=3][/h]

..........0.jpg
........00.jpg
The reality star wore this white dress complete with a see-through mesh panels at a store opening in Kuwait City yesterday. You like the dress?
 
oh yes!
amependeza kusema ukweli! Boflo nitakuona bOOOOOOOOOONGE la mwanaume ukininunulia hili gauni!
 
Last edited by a moderator:
ndo nataka niliskie kwa vitendo

Hahaha...kama kweli unataka vitendo, tupia namba yako kwa pm.
Utaona nitakavyokujaza mafweza....ww vp! Mwanamme Fweza bana, sio maneno maneno tu,na kutaka kula vya bure
au eti upendwe na mwanamke bila ya kutoa fweza(Msione vyaelea Jua vimeundwa)...nawashangaa wana Jf wanavyodanganyana na The Boss ndio anawachunza, kwa kweli wamepitwa na wakati, sijui wanaishi dunia gan??? au nimekosea Preta (aka Malkia wa Jumba la Mbezi) ??
 
hapa sasa utanifanya nikose mwana na maji ya moto!
umemtaja The Boss wa nini banaaaa!
ila still ili nijue kweli we booonge la mwanaume gauni la kim nalitaka in my wardrobe ndani ya siku hizi chache !
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...kama kweli unataka vitendo, tupia namba yako kwa pm.
Utaona nitakavyokujaza mafweza....ww vp! Mwanamme Fweza bana, sio maneno maneno tu,na kutaka kula vya bure
au eti upendwe na mwanamke bila ya kutoa fweza(Msione vyaelea Jua vimeundwa)...nawashangaa wana Jf wanavyodanganyana na The Boss ndio anawachunza, kwa kweli wamepitwa na wakati, sijui wanaishi dunia gan??? au nimekosea Preta (aka Malkia wa Jumba la Mbezi) ??

say it again n again........

Nimekucheksha?? Preta aka Malkia wa Jumba la Mbezi, aka Malkia wa Mipasho, aka Shosti wa Boflo
ujue kabia the more unazidi kuchelewa kupata delivery not toka kwa yeyote ndo ujue bado sijakuona kuwa ni BOOOOOOOOOONGE LA MWANAUME!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom