hosting ya bure yenye speed zaidi 2gb space na bandwitch 100gb

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,704
39,776
logo.png


hellow wanajf ni vizuri nikashare mazuri
na nyinyi website yangu nimehost bure
kwenye website ya kirusi wananipa 2gb ya
diskspace (kwa blog inatosha kabisa).
bandwitch wanatoa 100gb wana fast server
website ni ya kirusi kama unataka kuregister tumia
google chrome itatranslate kwenda english
ukisha register watakupa option ya kuchange
to english katika cpanel.

ni vizuri ukiwa na host yako mwenyewe
kuliko kutengeneza blog kupitia website za
online kama wordpress.com na blogspot.com.
ukiwa na host wako utainstall automatic script
zao mfano wordpress na utakua na uwanja
mpana wa kuieka blog yako the way unavotaka wewe.

kwa ufupi ntawaelezea vitu utakavopata
kwenye hii hosting

-inasuport php, curl, curl ssl, php myadmin,
ftp access pamoja na audio na video
streaming

-utapack domain 2 na watakupa email 2
mfano you@yourwebsite.com

-speed data zinatrasfer 10mbps ina ram ya
8gb processor xeon e3 hard drives raid-1
na os ni centos 6.2

-inainstall automatic script pia unaweza
tengeneza online website maana wana
templetates zipo ready ni wewe tu
kuchagua

Link yake hii hapa
hostinger
 
still http://x10hosting.com haijanikera sana, japo wanatoa 1gb sio mbaya kwa blog yangu ndogo. na vitakataka vingine
 
Back
Top Bottom