Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Nyumba za kupangisha hasa wanafunzi zijulikanazo kama hostels sasa ni Rasimi zaanza kulipishwa kodi.
Wamiliki wa hizi nyumba hivi sasa wanatumiwa barua toka TRA kupitia serikal ya mtaa.
Hili zoezi sasa limeanza hasa maeneo yenye vyuo vikubwa kama Mlimani Dar, Malimbe mwanza, Dodoma, etc. Hostel na nyumba za kupanga zimekuwa categolized as commercial buildings.