Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,127
- 39,326
Ndio maana presha ya kununua upinzani imepandaMi naomba kufahamu tu....huyu jamaa aamefanya nini kimefanikiwa tangu aingie...!??
Ndio maana presha ya kununua upinzani imepandaMi naomba kufahamu tu....huyu jamaa aamefanya nini kimefanikiwa tangu aingie...!??
Duh, corner cracks? Ngumu sana kuziattend. Naona moja imepitiliza kwenye slab.
Ila nadhani ni kwa sababu ya tetememko la ardhi lenye kipimo cha 7.6R.
Mmh!Ujue kuna kitu kitaalamu kinaitwa Road Earth Quick hii inatokea kila siku kwa majengo ambayo yapo karibu sana na barabara ba ikitokea lazima majengo yapate nyufa na mwishowe kuangua na kuua watu 63.
Yakianguka husababisha hasara kubwa sana kwa sababu yamejengwa kwa pesa ndefu sana.
Mwisho kabisa niseme ukiingia kwenye hayo majengo tembea taratibu sana pia kelele za aina yoyote ile zisipigwe ili kuepusha mtikisiko ambao unaweza kupeleka jengo kuanguka.
By Prof: Onkwo Antanki.
Na badowatanzania tuache kumsema vibaya rais wetu, angalia laana hizo zinatokana na maneno yetu mabaya kwake, ili hali yupo kutuhangaikia sote....
[HASHTAG]#IQzerokabisa[/HASHTAG]
Kama umeishi University of Dar Es salaam au umepita kwenye hôstel yaani halls zake zote zina nyufa tena za miaka mingi na za hatari sana, kwa ufupi Udsm sio sehemu nzuri ya maisha kwa upande wa majengo, ukifika Engineering collège shida ni nyufa, Hata leo ile shule ya biashara ni mpya imejaa nyufa sana, Hivyo tafiti ni muhimu eneo là udsm, Tusishabikie upuuzi
Tusishabikie upuuz wa informer bila kuangalia majengo mengine udsm
Wewe huyajui?Kwani unakimbizwa si uandike kwa ufasaha ,hayo ni majengo gani/kitalu/aina jina la jengo ,hii ni taarifa butu haisadii chochote,unatakiwa utoe maelezo yanayojitosheleza ili watu wachukue hatua
Hahahah..Bado Chato Airport
Hahahah....nimecheka sana!!Ila nadhani ni kwa sababu ya tetememko la ardhi lenye kipimo cha 7.6R.
Huyu jamaa simuelewi kabisa...nnachojua settlements katika majengo inatokea sometimes ila how come jengo halina hata miezi sita limetoa manyufa makubwa hivyo???Usitudange as if hatukukaa ndani ya mabweni ya udsm mkuu, yale majengo yamejengwa enzi ya Nyerere, miaka yangu minne nliyosoma Udsm sikupata ona jengo lina nyufa kama hiyo ya JPM hostel..
si mmesikia leo CCM wamepokea wanachuo 400???Na bado
Umesahau kauli zake!??
Tuliza hilo tako bwana mdogo, sindano imekuingia sio. Hahahaha na badoStupid unataka kila mtu awe na mawazo sawa yako...?
Kama unamatatizo yako na govt usitake kila mtu awe na tatizo na hayo mambo ya kulipwa kama huwa mnalipwa ilikukosoa govt sio wote kama huna chakuongea shut your fucking mouth
nimecheka kwa nguvu. Ventilation muhimu sana.na wewe muongo kabisa hizo ni sehemu ya ventilation kubana matumizi wameamua kuweka katika mtindo wa nyufa!
nimecheka kwa nguvu. Ventilation muhimu sana.na wewe muongo kabisa hizo ni sehemu ya ventilation kubana matumizi wameamua kuweka katika mtindo wa nyufa!