Hosteli za Magufuli chuoni UDSM zimeanza kubomoka. Nini chanzo? Watoto wetu watapona?

Ujue kuna kitu kitaalamu kinaitwa Road Earth Quick hii inatokea kila siku kwa majengo ambayo yapo karibu sana na barabara ba ikitokea lazima majengo yapate nyufa na mwishowe kuangua na kuua watu 63.

Yakianguka husababisha hasara kubwa sana kwa sababu yamejengwa kwa pesa ndefu sana.

Mwisho kabisa niseme ukiingia kwenye hayo majengo tembea taratibu sana pia kelele za aina yoyote ile zisipigwe ili kuepusha mtikisiko ambao unaweza kupeleka jengo kuanguka.

By Prof: Onkwo Antanki.
Mmh!

Elimu ya ureno inazidiwa hata na ya Lumumba

Mwalmu wako hakukwambia kama kuna trafik wa kukamata earth quek ya mwendo kasi..
 
Mmejitakia wenyewe kumpa kura

Hiyo 2020 hata mkimnyima haisaidii kitu atafanya tuh kama alivyofanya kwenye hiz chaguz ndogo za udiwani

Kiranja wa ujenz pale anapokuwa prezoo kwanin asivunje jengo la Tanesco?
 
watanzania tuache kumsema vibaya rais wetu, angalia laana hizo zinatokana na maneno yetu mabaya kwake, ili hali yupo kutuhangaikia sote....


[HASHTAG]#IQzerokabisa[/HASHTAG]
Na bado

Umesahau kauli zake!??
 
Kama umeishi University of Dar Es salaam au umepita kwenye hôstel yaani halls zake zote zina nyufa tena za miaka mingi na za hatari sana, kwa ufupi Udsm sio sehemu nzuri ya maisha kwa upande wa majengo, ukifika Engineering collège shida ni nyufa, Hata leo ile shule ya biashara ni mpya imejaa nyufa sana, Hivyo tafiti ni muhimu eneo là udsm, Tusishabikie upuuzi

Tusishabikie upuuz wa informer bila kuangalia majengo mengine udsm

Usitudange as if hatukukaa ndani ya mabweni ya udsm mkuu, yale majengo yamejengwa enzi ya Nyerere, miaka yangu minne nliyosoma Udsm sikupata ona jengo lina nyufa kama hiyo ya JPM hostel..
 
Kwani unakimbizwa si uandike kwa ufasaha ,hayo ni majengo gani/kitalu/aina jina la jengo ,hii ni taarifa butu haisadii chochote,unatakiwa utoe maelezo yanayojitosheleza ili watu wachukue hatua
Wewe huyajui?
 
Usitudange as if hatukukaa ndani ya mabweni ya udsm mkuu, yale majengo yamejengwa enzi ya Nyerere, miaka yangu minne nliyosoma Udsm sikupata ona jengo lina nyufa kama hiyo ya JPM hostel..
Huyu jamaa simuelewi kabisa...nnachojua settlements katika majengo inatokea sometimes ila how come jengo halina hata miezi sita limetoa manyufa makubwa hivyo???
 
Stupid unataka kila mtu awe na mawazo sawa yako...?
Kama unamatatizo yako na govt usitake kila mtu awe na tatizo na hayo mambo ya kulipwa kama huwa mnalipwa ilikukosoa govt sio wote kama huna chakuongea shut your fucking mouth
Tuliza hilo tako bwana mdogo, sindano imekuingia sio. Hahahaha na bado
 
Back
Top Bottom