Hosteli za Magufuli chuoni UDSM zimeanza kubomoka. Nini chanzo? Watoto wetu watapona?

hapo izo cracks zinakuwa wapi maana kama ni plaster tu hiyo 0.3mm sio issue kwa kuwa plaster ina min. thickness ya 15mm kwa lugha nyingine unakuwa ujagusa hata zege au tofali, nazani utakuwa una maanisha 0.3mm ambayo ipo kwenye zege au ukuta usio na plaster/render
Kwa hichi ulichoandika hapa ina onyesha hata hujui ulichoandika...embu angalia hizo nyufa ni 0.3mm kweli?? au uko bar umelewa macho hayaoni?
 
hapo izo cracks zinakuwa wapi maana kama ni plaster tu hiyo 0.3mm sio issue kwa kuwa plaster ina min. thickness ya 15mm kwa lugha nyingine unakuwa ujagusa hata zege au tofali, nazani utakuwa una maanisha 0.3mm ambayo ipo kwenye zege au ukuta usio na plaster/render
0.3mm kwenye plain beam... Ambayo haina finishing yoyote..
 
Ikiwa ni takriban ya Wiki nne tu toka hosteli hizi kuanza kukaliwa na Wanafunzi hatimaye Nyufa kubwa na za kushangaza zimenza kujitokeza kwenye mojawapo ya
Majengo haya alimaarufu kama JOHN POMBE MAGUFULI HOSTEL.

Hosteli hizi zilizinduliwa na Mh. Rais mwanzoni mwa mwaka huu na zimeanza kukaliwa Mwezi wa 11 mwaka huu.

Ajabu ni kuwa nyufa zimezidi kuota kwenye mojawapo ya majengo haya. Hosteli hizi zimebeba takribani ya Wanafunzi 3840.

Kwa mujibu wa Rais Magufuli alidai kuwa majengo haya yalijengwa kwa bilioni 10 tu za kitanzania ingawa takwimu za Mkaguzi na mthibiti wa hesabu za serikali yaani CAG waliweza kubaini kuwa majengo haya yalijengwa kwa Sh. Bilioni 54 ... Majengo haya kujengwa kwake yametumia miezi Sita tu kukamilika kwake.. Taarifa za awali zinadai kuwa hosteli hizi huenda zikawa ni mojawapo ya Hosteli zilizojengwa kwa kiwango cha chini kuliko Hostel zozote Barani Afrika.

View attachment 643272
View attachment 643165 View attachment 643167 View attachment 643168 View attachment 643166
Awamu hii mpaka ifike fainal faida 30% hasara 70% ni awamu iliofitinika
 
Mkuu kiki ya bandarini walizopiga juzi jpm na majaliwa no baraa,mmoja anaenda j2 mwingine j4 eti kuna magari,hivi wanadhani watanzania wrote wananunua PhD
Eti mzigo upo bandarini alafu mwenye nao hajulikani!!!
 
Mi naomba kufahamu tu....huyu jamaa aamefanya nini kimefanikiwa tangu aingie...!??
 
watanzania tuache kumsema vibaya rais wetu, angalia laana hizo zinatokana na maneno yetu mabaya kwake, ili hali yupo kutuhangaikia sote....


[HASHTAG]#IQzerokabisa[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom