Hostel za watu kieheshima zapatikana wapi?

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,836
262
Naomba mnijuze wapendwa mitaa ya kijitonyama ,sinza na hata posta. wapi naweza kupata hostel ya kuishi kwa muda?
 
Cheki na YMCA na YWCA, ni Christian Mission Hostel na very cheap na utakuwa na marafiki wazungu. zote mbili ziko Posta.
 
Back
Top Bottom