Hostel za bei nafuu jirani na Nairobi Hospital

Sorry mimi pia sio mkenya nilikaa huko mwaka jana baada ya kuona hostel za Nairobi university garama halafu tuvyumba tudogo. Niliamua kwenda mtaani .Fika hapo maeneo ya Ghana Avenue ulizia magari ya kwenda Eastleigh kumetulia huko .Kuna hospital inaitwa kimweni maternity hospital maeneo hayo utapata sehemu nzuri kabisa
Mkuu ulikuwa unasoma nairobi university ama?
 
Habari zenu wana JF, poleni na majukumu,

Naombeni kwa yeyote anayefahamu hosteli iliyoko jirani na Nairobi hospital aniambie, nauguza mtoto sasa gharama za hoteli ziko juu na hostel.

Ninayoifahamu hapa ni Flora hostel ya masister na yenyewe naona gharama ziko juu sababu wanacharge ksh 3300 per day.

Msaada wenu wa haraka wakuu unahitajika.
Mkuu
Ondokana na upumbavu wa watu wasiojua kitu.
Elekea Ngong Road karibu na uchumi kabla hujafika uchumi upanfe wako wa kushoto Ipo hotel skumbuki jina ni rahisi haifiki 2000/= K sh hapo matatu ni 200 mpaka Shell Petrol station junction ya Harlingham na ngong zikikuzingua au katika kusave unatembea mpaka round about umefika Nairobi Hospital
 
Nikipata ya ksh 1000 au ksh 1500 si mbaya
Mkuu
usikonde Ngong road ni solution.
CID headquarters karibu lakini ghali iko milimani Heron court mbele take Lenana mount Lodge.
Ngong rd uchumi ziko hotel mbili tatu rahisi
Go there please
 
Habari zenu wana JF, poleni na majukumu,

Naombeni kwa yeyote anayefahamu hosteli iliyoko jirani na Nairobi hospital aniambie, nauguza mtoto sasa gharama za hoteli ziko juu na hostel.

Ninayoifahamu hapa ni Flora hostel ya masister na yenyewe naona gharama ziko juu sababu wanacharge ksh 3300 per day.

Msaada wenu wa haraka wakuu unahitajika.
Mkuu
Kuna mtu anaongea mambo ya Nairobi East mpotoshaji Huyo ni Nairobi West hotel za 700 ziko lakini mbali,
Mbagathi shopping centre karibu, maeneo ya Mbagathi hospital 2 to 3 km mpaka Nairobi hospital.
Zipo guest house za 500 kwa ajili ya shida yako ni sawa
 
Wanajf habarini mbona kimya jamani michango imeisha nashindwa kuingia humu mda wote sababu mpaka nipate access ya Wi-Fi nimezunguka zunguka nimebahatisha moja mbagathi road ila si karibu na hospital kwahiyo bado michango yenu inahitajika
 
Back
Top Bottom