Hostel ya Kisasa kwa Wanafunzi na Wafanyakazi

Pelham 1

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
548
99
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Mahitaji: Hostel ya kisasa kwa Wanafunzi na Wafanyakazi elfu 80,000/= per month
Kodi mwaka mpaka miezi 6
Full A/c, Dstv
Karibu sanaaaaa...
 

Attachments

  • 1456656811115.jpg
    1456656811115.jpg
    44.7 KB · Views: 53
  • 1456656850317.jpg
    1456656850317.jpg
    59.4 KB · Views: 40
  • 1456656931604.jpg
    1456656931604.jpg
    39.9 KB · Views: 33
Yana mnajiita tangaza marketing solutions alafu humjui kutangaza, sasa tutajuaje hiyo hostel Ipo wapi
 
Itakuwa kaambiwa khsu hiyo hostel kakurupuka
Kuja kutangaza!ngoja aambiwe wapi ilipo atarudi tena humu jf kutuambia
Yana mnajiita tangaza marketing solutions alafu humjui kutangaza, sasa tutajuaje hiyo hostel Ipo wapi
 
Hivi Kati ya hostel na guest house, ipi inalipa kibiashara? Assuming Una eneo unaweza kujenga kimoja wapo
 
Aibu yake...watu wa aina hii ningekuwa na uwezo niku piga ban across...unawezaje kutoa tangazo incomplete hivi?

Muwe mnasoma na kujifunza kupitia matangazo kama ya mkuu Munawar et al...ambayo yako straight forward!

Well unaweza ukawa hujawa na utaalamu ndo unajifunza..hata wenzako wanavyotangaza si usome uone...sumbua kichwa usipende kuvuna tu..just invest kwenye kujifunza!
 
Hostel ipo mahali gani , na mbna ndio mara ya kwanza nasikia hostel ya wafanyakazi..
 
Back
Top Bottom