Hospitali za Serikali kuwa na Madaraja ni Makosa sana

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,704
6,499
Hospitali za Serikali ni zinaendeshwa kwa Kodi za Watanzania wote, Wafanya kazi wanalipwa kwa kodi.

Hizi hospitali zinaweza kuwa na huduma ya VIP hasa kwa ajili ya usalama lakini sio kuwa na kitu kinaitwa Grade.

Hizi Grade ziachwe kwenye Hospitali za Private lakini sio Hospitali za Umma ambazo zinaendeshwa kwa kodi.

Wananchi wanajisikiaje wanafika Hospitali ya umma wanakutana na kitu kinaitwa Grade, kwamba kule ukitaka ulazwe toa pesa zaidi na huku ni changanyikeni.

Hao wauguzi,wanao fanya kazi kwenye hizo Grade wanalipwa Mashahara na hao hao wagonjwa ana baguliwa.

Serikali ni bora ikawa na huduma ya VIP kwa ajili ya Usalama lakini siokuwa na Grade kwenye hospitali za Umma.

Ni hayo tu.
 
Hospitali za Serikali ni zinaendeshwa kwa Kodi za Watanzania wote, Wafanya kazi wanalipwa kwa kodi.

Hizi hospitali zinaweza kuwa na huduma ya VIP hasa kwa ajili ya usalama lakini sio kuwa na kitu kinaitwa Grade...
Tafuta hela mkuu,hata bima za afya zina magrade,unataka wananchi wote wawe wanatumia CHF ili roho yako itulie?
 
Hospitali za Serikali ni zinaendeshwa kwa Kodi za Watanzania wote, Wafanya kazi wanalipwa kwa kodi.

Hizi hospitali zinaweza kuwa na huduma ya VIP hasa kwa ajili ya usalama lakini sio kuwa na kitu kinaitwa Grade...
Mkuu kakate kadi ya CHADEMA uone maana ya GRADES
 
Back
Top Bottom