Hospitali ya Rufaa Chato ni aibu na fedheha kwa Serikali, ipelekwe Biharamulo na Majengo yawe Chuo cha afya! Chuki dhidi ya Kagera ziishe

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,395
2,000
Salaam Wakuu,

Jumamosi ya tarehe 11 Sept 2021, nilienda Chato kuangalia Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo iliwekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na aliyekuwa Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita tarehe 11 Januari 2021 haifai kuwa ya rufaa.

Dk Gwajima alidai hospitali hiyo ikikamilika itakuwa nauwezo wa kuhudumia wananchi milioni 14 kutoka Mikoa ya Kagera, Kigoma, Tabora, Rukwa, Geita, na wilaya za Mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Gwajima alidanganya. Mtu hawezi kutoka Tabora aende Chato badala ya Dodoma. Au atoke Geita, Mwanza Shinyanga aende Chato badala ya Bugando Mwanza.

Ukweli hii Hospitali ya Chato Ni bajeti ya Wati wa Kagera Walinyang'anywa. Kagera ina Wilaya Nyingi, Walitakiwa wawe na Hospitali yao ya Rufaa. Sema Chuki za Awamu ya tano dhidi ya Wanakagera ndo ilisabiaha ijengwe Chato

Kulingana na Sensa ya 2012,Chato ilikuwa na watu Laki tatu(365,127) Wanajengewa Hospitali ya kuhudumia watu Milioni 14. Aibu.

Kagera yenye Wilaya za Bukoba, Biharamulo, Muleba, Karagwe, Ngara, Kyerwa, na Missenyi, kwa Sensa ya 2012 ilikuwa na watu 2.458 millioni hawana Hospitali ya Rufaa.

Mgawanyo wa Cake ya Taifa haupo sawa. Geita, Shinyanga na Mwanza wana Hospitali yao ya Rufaa Bugando, lakini ile ambayo ingejengwa Kagera, wameijenga chato.

Eti Hospitali ya Rufaa Bugando inapokea Wagonjwa 10 kwa siku. Wakati ukienda Pale Bukoba Government wagonjwa wanalala wawili wawili kitanda kimoja wengine chini.

Kwani kosa la Kagera ni nini?

Kagera Walipata tetemeko Serikali ikasema sio wao walileta tetemeko, hata misaada iliyotolewa na Wasamalia haikupelekwa.

Rais Samia arekebishe hii.

View attachment 1941878 View attachment 1941879

Muonekano wa Hospitali ya rufaa Chato

Huu ni Wizi kwa Walipa kodi wa Kagera na Kanda ya Ziwa

Chato ni kwao na rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli mwenda zake ambaye Mgombea urais wa Chadema 2020 alimuita Dikteta Uchwara.

Super woman Samia Suruhi hii imfikie. Naamini ataongea neno ili cake ya taifa kila mtu aifaidi.

View attachment 1941952
Magufuli: Serikali haitawajengea nyumba wahanga wa tetemeko Kagera
Hii tutafugia nyuki hakuna namna
 
tinkanyarwele

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,887
2,000
Ni kweli, pale Kagera inatakiwa hospitali kubwa hasa wilaya ya Missenyi ili iweze kuhudumia hata nchi jirani
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,461

Kagera inaonewa gere kisa ina wasomi wa kila nyanja. Chuki iishe.
Hii itakuwa hospital ya Rufaa ya mkoa tuu,hizo zingine ni hadithi..

Mikoa mingi tuu haina hospital zenye hadhi za Rufaa za Mikoa kama Rukwa nk..

Dhalimu hakuwa mtu mzuri alipanda mbegu ya ubaguzi na chuki kiasi kwamba unaweza tamani tugawane fito ila bora alivyotangulizwa na Israel mtoa roho.
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,461
2,000
Ndicho kinalazimishwa. Je, ni nininkitafanya Wagonjwa wa Shinyanga wasiende Bugando badala yake Waenda chato ambayo ilikuwa Biharamulo kabla ya kugawanywa?

Umbali wa Shinyanga hadi Bugando ni Km 140, lakini Umbali wa Shinyanga Chato ni ni Km 319.3. Je, wewe una Mgonjwa wako anakaribia kufa utaenda wapi? Jibu kwa kutumia akili ya kichwa si Makalio.
Ni hivi hiyo itakuwa hospital ya mkoa wa Geita kama hospital zingine za Mikoa,hakuna cha hospital ya Kanda wala nini,hizo ni hadithi,, hospital ya Kanda itabakia kuwa Bugando.
 
NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
1,703
2,000
Mkuu, hii Miradi labda kwa huruma za Rais Samia. Mwenda zake Magufuli alisema kwenye mkutano wa hadhara kwamba tusahau sababu kubwa kwamba tulichagua Mbunge wa Upinzani. Kwamba hawezi wapa chakula watoto wa nje wakati wa kwake wanakufa njaa
loh!
 
MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,010
2,000
Salaam Wakuu,

Jumamosi ya tarehe 11 Sept 2021, nilienda Chato kuangalia Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo iliwekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na aliyekuwa Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita tarehe 11 Januari 2021 haifai kuwa ya rufaa.

Dk Gwajima alidai hospitali hiyo ikikamilika itakuwa nauwezo wa kuhudumia wananchi milioni 14 kutoka Mikoa ya Kagera, Kigoma, Tabora, Rukwa, Geita, na wilaya za Mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Gwajima alidanganya. Mtu hawezi kutoka Tabora aende Chato badala ya Dodoma. Au atoke Geita, Mwanza Shinyanga aende Chato badala ya Bugando Mwanza.

Ukweli hii Hospitali ya Chato Ni bajeti ya Wati wa Kagera Walinyang'anywa. Kagera ina Wilaya Nyingi, Walitakiwa wawe na Hospitali yao ya Rufaa. Sema Chuki za Awamu ya tano dhidi ya Wanakagera ndo ilisabiaha ijengwe Chato

Kulingana na Sensa ya 2012,Chato ilikuwa na watu Laki tatu(365,127) Wanajengewa Hospitali ya kuhudumia watu Milioni 14. Aibu.

Kagera yenye Wilaya za Bukoba, Biharamulo, Muleba, Karagwe, Ngara, Kyerwa, na Missenyi, kwa Sensa ya 2012 ilikuwa na watu 2.458 millioni hawana Hospitali ya Rufaa.

Mgawanyo wa Cake ya Taifa haupo sawa. Geita, Shinyanga na Mwanza wana Hospitali yao ya Rufaa Bugando, lakini ile ambayo ingejengwa Kagera, wameijenga chato.

Eti Hospitali ya Rufaa Bugando inapokea Wagonjwa 10 kwa siku. Wakati ukienda Pale Bukoba Government wagonjwa wanalala wawili wawili kitanda kimoja wengine chini.

Kwani kosa la Kagera ni nini?

Kagera Walipata tetemeko Serikali ikasema sio wao walileta tetemeko, hata misaada iliyotolewa na Wasamalia haikupelekwa.

Rais Samia arekebishe hii.

View attachment 1941878 View attachment 1941879

Muonekano wa Hospitali ya rufaa Chato

Huu ni Wizi kwa Walipa kodi wa Kagera na Kanda ya Ziwa

Chato ni kwao na rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli mwenda zake ambaye Mgombea urais wa Chadema 2020 alimuita Dikteta Uchwara.

Super woman Samia Suruhi hii imfikie. Naamini ataongea neno ili cake ya taifa kila mtu aifaidi.

View attachment 1941952
Magufuli: Serikali haitawajengea nyumba wahanga wa tetemeko Kagera

Kagera inaonewa gere kisa ina wasomi wa kila nyanja. Chuki iishe.

Bugando ni ya serikali?
Halafu kwanini Geita ni mwanza. Ungetaja hivyo hivyo, mkoa wa Geita unahospitali za rufaa ngapi kama vipi kwanini Kagera nao rufaa isiwe Bugando si wote wako kanda ya ziwa?
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
9,294
2,000
Salaam Wakuu,

Jumamosi ya tarehe 11 Sept 2021, nilienda Chato kuangalia Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo iliwekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na aliyekuwa Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita tarehe 11 Januari 2021 haifai kuwa ya rufaa.

Dk Gwajima alidai hospitali hiyo ikikamilika itakuwa nauwezo wa kuhudumia wananchi milioni 14 kutoka Mikoa ya Kagera, Kigoma, Tabora, Rukwa, Geita, na wilaya za Mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Gwajima alidanganya. Mtu hawezi kutoka Tabora aende Chato badala ya Dodoma. Au atoke Geita, Mwanza Shinyanga aende Chato badala ya Bugando Mwanza.

Ukweli hii Hospitali ya Chato Ni bajeti ya Wati wa Kagera Walinyang'anywa. Kagera ina Wilaya Nyingi, Walitakiwa wawe na Hospitali yao ya Rufaa. Sema Chuki za Awamu ya tano dhidi ya Wanakagera ndo ilisabiaha ijengwe Chato

Kulingana na Sensa ya 2012,Chato ilikuwa na watu Laki tatu(365,127) Wanajengewa Hospitali ya kuhudumia watu Milioni 14. Aibu.

Kagera yenye Wilaya za Bukoba, Biharamulo, Muleba, Karagwe, Ngara, Kyerwa, na Missenyi, kwa Sensa ya 2012 ilikuwa na watu 2.458 millioni hawana Hospitali ya Rufaa.

Mgawanyo wa Cake ya Taifa haupo sawa. Geita, Shinyanga na Mwanza wana Hospitali yao ya Rufaa Bugando, lakini ile ambayo ingejengwa Kagera, wameijenga chato.

Eti Hospitali ya Rufaa Bugando inapokea Wagonjwa 10 kwa siku. Wakati ukienda Pale Bukoba Government wagonjwa wanalala wawili wawili kitanda kimoja wengine chini.

Kwani kosa la Kagera ni nini?

Kagera Walipata tetemeko Serikali ikasema sio wao walileta tetemeko, hata misaada iliyotolewa na Wasamalia haikupelekwa.

Rais Samia arekebishe hii.

View attachment 1941878 View attachment 1941879

Muonekano wa Hospitali ya rufaa Chato

Huu ni Wizi kwa Walipa kodi wa Kagera na Kanda ya Ziwa

Chato ni kwao na rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli mwenda zake ambaye Mgombea urais wa Chadema 2020 alimuita Dikteta Uchwara.

Super woman Samia Suruhi hii imfikie. Naamini ataongea neno ili cake ya taifa kila mtu aifaidi.

View attachment 1941952
Magufuli: Serikali haitawajengea nyumba wahanga wa tetemeko Kagera

Kagera inaonewa gere kisa ina wasomi wa kila nyanja. Chuki iishe.
Washuti wana Chuki na bk lakini historia ina kawaida ya kujirudia
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
56,721
2,000
"Kwani sisi tunaoendesha mavieite yenye furu tenki tunapaki wapiiii?" ( kwa lafudhi ya kihaya)
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
4,276
2,000
Salaam Wakuu,

Jumamosi ya tarehe 11 Sept 2021, nilienda Chato kuangalia Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo iliwekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na aliyekuwa Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita tarehe 11 Januari 2021 haifai kuwa ya rufaa.

Dk Gwajima alidai hospitali hiyo ikikamilika itakuwa nauwezo wa kuhudumia wananchi milioni 14 kutoka Mikoa ya Kagera, Kigoma, Tabora, Rukwa, Geita, na wilaya za Mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Gwajima alidanganya. Mtu hawezi kutoka Tabora aende Chato badala ya Dodoma. Au atoke Geita, Mwanza Shinyanga aende Chato badala ya Bugando Mwanza.

Ukweli hii Hospitali ya Chato Ni bajeti ya Watu wa Kagera ambayo Walinyang'anywa. Kagera ina Wilaya Nyingi, Walitakiwa wawe na Hospitali yao ya Rufaa. Sema Chuki za Awamu ya tano dhidi ya Wanakagera ndo ilisabiaha ijengwe Chato

Kulingana na Sensa ya 2012,Chato ilikuwa na watu Laki tatu(365,127) Wanajengewa Hospitali ya kuhudumia watu Milioni 14. Aibu.

Kagera yenye Wilaya za Bukoba, Biharamulo, Muleba, Karagwe, Ngara, Kyerwa, na Missenyi, kwa Sensa ya 2012 ilikuwa na watu 2.458 millioni hawana Hospitali ya Rufaa.

Mgawanyo wa Cake ya Taifa haupo sawa. Geita, Shinyanga na Mwanza wana Hospitali yao ya Rufaa Bugando, lakini ile ambayo ingejengwa Kagera, wameijenga chato.

Eti Hospitali ya Rufaa Chato inapokea Wagonjwa 10 kwa siku. Wakati ukienda Pale Bukoba Government wagonjwa wanalala wawili wawili kitanda kimoja wengine chini.

Kwani kosa la Kagera ni nini?

Kagera Walipata tetemeko Serikali ikasema sio wao walileta tetemeko, hata misaada iliyotolewa na Wasamalia haikupelekwa.

Rais Samia arekebishe hii.

View attachment 1941878 View attachment 1941879

Muonekano wa Hospitali ya rufaa Chato

Huu ni Wizi kwa Walipa kodi wa Kagera na Kanda ya Ziwa

Chato ni kwao na rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli mwenda zake ambaye Mgombea urais wa Chadema 2020 alimuita Dikteta Uchwara.

Super woman Samia Suruhi hii imfikie. Naamini ataongea neno ili cake ya taifa kila mtu aifaidi.

View attachment 1941952
Magufuli: Serikali haitawajengea nyumba wahanga wa tetemeko Kagera

Kagera inaonewa gere kisa ina wasomi wa kila nyanja. Chuki iishe.
Uzi mrefu Kumbe chuki na ushuzi tupu.
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
8,003

Iko chato mbona ni maeneo hayohayo tu. Chato ni tanzania wala kagera kuja geita huhitaji passport.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom