linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,713
- 4,369
Habari wana Jf,
Kiukweli Hospitali ya Regency kwa watu wa kushughulikia files za wagonjwa na kujiandikisha wahusika waangalie kwa jicho kali kwa kuwa wanauzembe uliopitiliza.
Mtu umepanga folen masaa zaidi ya mawili. Unapata namba unaenda kwa dr hapo unaweza kusubiri file lako zaidi ya masaa matatu.
Na hapo dr yupo ofisin wakati wagonjwa wamejazana kwenye folen wakisubiri mafaili yao yaingizwe kwa doctor ndipo waitwe.
Hii ni kero na usumbufu unaopaswa kurekebishwa wahusika rekebiahen hali hii ili muwasaidie wagonjwa.
Nawasilisha.