msanawa
Senior Member
- Nov 27, 2014
- 161
- 177
Hospital ilipangwa kujengwa tangu miaka ya sabini bali haikujengwa mpaka awamu ya Magufuli, hizo awamu nyingine wananchi walikuwa hawalipi kodi!?? Je, kushukuru ni tabia njema au mbaya!? Unapokula chakula nyumbani ukasema asante kwani sio haki yako kula!? Kushukuru ni tendo jema na la kutia moyo..Huwa ninashangaa sana pale mTanzania anapo ona haki yake ya msingi ni msaada...
Kupitia kodi yako, huoni wajibu wa serikali mkuu, wala sio hisa