Hospitali ya Muhimbili yawa ya kwanza Afrika mashariki na kati

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili umeanza kuzaa matunda baada ya hospitali hiyo kuwa ya kwanza kwenye nchi za Afrika mashariki na kati kupandikiza uboho na uroto kwa wagonjwa wa kansa.
Kabla ya mageuzi haya wagonjwa walikuwa wanalazimika kupelekwa India kwa matibabu zaidi.
Pia Muhimbili iko mbioni kuanza kupandikiza mimba.

R.I.P Magufuli
 
R.I.P Magufukawa
Magufuli kawaje tena
 
Umeumaliza mwendo rip
 
Na kwa kufuga "mapaka" vimbulu!
Rot in hell,Mr.Jiwe!
 
Back
Top Bottom