hospitali ya jeshi Lugalo yazidiwa

POLENI SANA watanzania masikini ambao hamna uwezo wa kupelekwa INDIA lakini msiwalaumu hao bali jililieni ninyi na watoto wenu kwa njia haimwambii mpita njia litakalomkuta huko aendako.lakini najua mmeshajifunza siku nyingine mkipewa nafasi ya kuchagua msichague SLOGA NA SWAGA dhaifu kama MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA!!!!:spy::spy::spy::spy:
 
Hapana hii sasa imekuwa mbaya zaidi. Kuna madaktari hapa wengi tu wa kujitolea, kama kuna kiongozi yeyote anafika hapa JF awasiliane na mimi au mwenye kuweza sambaza ujumbe huu. Wataifanya kazi hadi makubaliano yenu yatakapo timia. namba yangu ni +1416 260 2880..Roho za Watanzania wanaokufa kutokana na mgogoro huu haziwezi kurudisha imani yangu kwa yeyote yule..
 
Back
Top Bottom