stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 6,184
- 3,145
Je, kwasasa ndio kipaumbele?
Je, hili ni la muhimu kuliko huduma za msingi za jamii zinazochechema?
Je, hili ni la lazima sana kiasi kwamba lisipofanyika kuna watu wataathirika kiafya, kijamii na kiuchumi?
Kuingiza milion 400 kwa dakika kumi tu kwa serikali hakumaanishi kuwe na matumizi mabovu
Sent using Jamii Forums mobile app
unatumia kigezo gan kuiclassify kama matumizi mabovu? Lini ni mda sahihi wa kuchonga sanamu? Budget ya nasa ni $20B kila mwaka wa fedha, je ni matumizi mabovu kisa kuna watu hawana kazi? ama wanaishi kwenye umaskini?
- Budget ya jeshi la marekani ni $1 trillion, je ni matumizi mabovu pia?
mil 400 ni ela ndogo sana kwa serikali ndan ya dakika chache tu imerudi tatizo lipo wap apo?