Hospitali nzuri kufanya internship

STALLEY

JF-Expert Member
May 5, 2012
618
206
Wadau nauliza kati ya Muhimbili na Kcmc ni wapi pazuri zaidi kufanya internship kwa mwanafunzi baada ya kumaliza Md.sijasoma katika vyuo hivyo hivyo sina ufahamu mzuri wa hizo hospitali.mnakaribushwa kwa mchango au mawazo
 
Muhimbili sio sehem ya kufanyia intern pale..
Hasa kama hujasoma pale utafwatilia damu maabara hadi uchanganyikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kazi nyingi sana kwa Interns wote(Doctors, Nurses, Pharmacists, Lab Scientists) japo kuna posho ya overtime lakini wanasota sana.

Wale waliosoma pale wanakuwa wazoefu maana wanajuana na watumishi wengine pale kwa hiyo sio vigumu sana kusota japo haiepukiki
 
Back
Top Bottom