Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

Ni wapi walipata order ya kutengeneza vitanda aina hiyo 500?
Halafu kama wao walikubali kupata order iweje wasipeleke vifaa hivyo but "msd" ndiyo wavichukue(tazama picha)?
Kama vilikuwepo, tatizo lilikuwa halijulikani? Halikuwahi kuongelewa au kuzungumzwa hili, na watu waliongea wakaonekana wanataka pesa!

Binafsi sioni jipya hapo, hii ni danadana nyingine!"Kuiboresha Hospitali ya Taifa na kisha kusahau nyingine".

Tatizo lililo MNH(kwa ukubwa wake si vitanda), hapo Kibasila watu wamelala kwenye vitanda hadi kwenye ngazi! Na hawa wanakuwa_considered kuwa wana unafuu(kwasababu wamepata vitanda). Tatizo la MNH ni kuzidiwa kwa wagonjwa, Period.

Centralization of resources ndilo tatizo.Hospitali za Rufaa za Mikoa ndiyo haswa zinapaswa kuwezeshwa kwa kuweka vifaa vya uchunguzi na tiba, wataalamu, na dawa zenyewe. Haina ulazima kutoka mkoa hadi mkoa kwa kitu ambacho kinawezekana kufanyika sehemu hiyo hiyo.
 
Hata siku moja shida na matatizo hayataisha hapa dunian as long as hivyo vinaanzia akilini mwa binadamu ona magufuli kafanya maamuzi magumu na yatakayomjengea chuki na baadhi ya wahusika wa tukio hasa MP's toka na ndicho wananchi tunachokitaka lakini pamoja na hayo watu badala ya kumuunga mkono mnakesha kutwa kucha kumponda, wakuu tubadilikeni mambo ya uvyama tuyaache hadi kampeni zijazo
Hehehe mkuu! Makomeo anatumia sera za ukawa na kuzifanyia kazi....ukawa wameleta changamoto sana, M4c, Magufuli for change
unaikumbuka hiyo,mambo anayoyapigia Kelele upinzani wamekuwa wakiyasema mara kwa mara
 
Sheria za manunuzi wameziweka mfukoni? Wamempataje supplier? Quotation zimefanyika? Tenda imetangazwa? Power is nothing without control!

mkuu jiongeze kidogo.hizo ni pesa za hisani na matumizi yake ni ya kidharura.so huhitaji mlolongo wa taratibu za manunuzi kana kwamba zimetoka kwenye budget ya serikali.
 
Watanzania bhana hatuna jambo jema kweli? mnyonge mnyongeni haki yake mpeni tuwe WAZALENDO sasa tuache majungu na unafiki havitatusaidia.
 
Nimeangalia picha na kuona kweli ni design ya vitanda vya hospitali. Kilichonisitua ni kuona gari lilioleta vitanda ni la Medical Stores Department (MSD) kudhihirisha kuwa idadi hii ya vitanda na magodoro 500 ilikuwepo huko Medical Stores Department ila ilikuwa inahitaji kiongozi mwenye maono ili kazi ifanyike!!! Kweli hii moto ya "hapa ni kazi tu" inaweza kusababisha angalau vigogo waanze kulazwa huko hospitali za Wilaya, Mikoa, na Taifa badala ya kupelekwa India.

Mkuu mimi siafikiani na mtizamo wako ,kwahiyo vitanda kubebwa na gari ya msd ndio kusema
kuwa vitanda vilikuwepo huko ila sema walikuwa wazito tu kuidhinisha kazi ifanyike>>?

Kumbuka ya kwamba msd ni agency ya serikali , hivyo kutumia magari yake
kubeba mali za serikali sio sababu ya kusema kwamba walikuwa navyo hivyo vitanda
, bali gari linaweza tumika toka MSD ili kuepuka kukodi magari mengine ambayo
yatakuwa na tozo kubwa. wakati magri ya bure (mafuta yako tu) yapo tele.
 
Last edited by a moderator:
We dada hamida since when mafccm mlifanya hivi, zaidi ya kuwa wanafiki waroho wezi tu
Shukrani zote ni kwa ukawa tu maana huyo makomeo anatumia sera za ukawa kutekeleza ahadi zake
Haijalishi sera ya nani..Kama jambo lililofanywa ni la kheri hatuna budi kufurahi na kutoa pongezi..
 
Huyu jamaa anapenda ligi na sifaa za kijinga hafai kuwa Rais watajuta wao kwani atawaumbua wao na chama chao
 
nlikua najiuliza the same thing.. hivyo vitanda vitakaa wodi gani maana hawawezi viweka kwenye kolido tena kama yale magodolo, hapatapitika!!!

naona wanaviweka kwenye jengo jipya la MOI... chakujiuliza ni hili jengo lilikua halina bajeti yake ya kununua vitanda likikamilika au ndo timing za siasa zimelenga penyewe

Hakuna haja ya kutafuta sababu mkuu sababu agizo kisinge tekelezwa pia bila shaka tunge sema tu, cha maana ni agizo limetekelezwa na uongozi wa Muhimbili pia wanazo akili timamu, bila shaka watakua wameandaa tayari sehem ya kuweka vitanda hivyo
 
Jaribu kufikiria wagonjwa wanaolala chini ili uwe na ubinadamu angalau kidogo. Madaktari wa Muhimbili walitaka vitanda kutoka kwa Dkt Magufuli...wao wanajua zaidi pa kuviweka kuliko wewe na mimi. Hivyo tuwaachie kazi yao madaktari.

mkuu achana na hawa... watabeza kila kitu....

ila inabidi wakubali jpm ni raisi wao mpaka 2020

Huwa nina shangaa sana hata lile jambo jema linabezwa...mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni....ebu tujali wagonjwa basi
 
dah!! kweli akili tulizo nazo miongon mwetu ni hatar sana, yaan bado tunaponda vitanda kwenda Mhimbili!!!! inasikitisha sana.
 
Zaidi ya vitanda miatano 500 vyapokelewa hospitali ya muhimbili.hili limekuja baada ya muhesuimiwa raisi kus?ma pesa zilizo changwa kwa ajili ya sherehe.kutumika kidogo na zilizobaki kwenda kununulia vitanda.vimepokelewa leo na vinafungwa leo na kuanza kutumika leo

Ni wapi walipata order ya kutengeneza vitanda aina hiyo 500?
Halafu kama wao walikubali kupata order iweje wasipeleke vifaa hivyo but "msd" ndiyo wavichukue(tazama picha)?
Kama vilikuwepo, tatizo lilikuwa halijulikani? Halikuwahi kuongelewa au kuzungumzwa hili, na watu waliongea wakaonekana wanataka pesa ma wengine kung'olewa kucha huku watu wakishabikia!

Binafsi sioni jipya hapo, hii ni danadana nyingine!"Kuiboresha Hospitali ya Taifa na kisha kusahau nyingine".

Tatizo lililo MNH(kwa ukubwa wake si vitanda), hapo Kibasila watu wamelala kwenye vitanda hadi kwenye ngazi! Na hawa wanakuwa_considered kuwa wana unafuu(kwasababu wamepata vitanda). Tatizo la MNH ni kuzidiwa kwa wagonjwa, Period.

Centralization of resources ndilo tatizo.Hospitali za Rufaa za Mikoa ndiyo haswa zinapaswa kuwezeshwa kwa kuweka vifaa vya uchunguzi na tiba, wataalamu, na dawa zenyewe. Haina ulazima kutoka mkoa hadi mkoa kwa kitu ambacho kinawezekana kufanyika sehemu hiyo hiyo.
 
Sheria za manunuzi wameziweka mfukoni? Wamempataje supplier? Quotation zimefanyika? Tenda imetangazwa? Power is nothing without control!

Kwendraaaa huna maana kabisa wewe, hivi unafurahia wagonjwa kulala chini kisa lisheria lako la manunuzi
 
zabuni za manunuzi ya vitanda vingi kiasi hiki ilifanyika lini!??? hata masaa 48 hayajapita tiari zabuni imetangazwa, mshindi kapatikana, vitanda vimenunuliwa na kuletwa kwenye jengo lililomalizika juzi!!! politics at it's best
 
Ni wapi walipata order ya kutengeneza vitanda aina hiyo 500?
Halafu kama wao walikubali kupata order iweje wasipeleke vifaa hivyo but "msd" ndiyo wavichukue(tazama picha)?
Kama vilikuwepo, tatizo lilikuwa halijulikani? Halikuwahi kuongelewa au kuzungumzwa hili, na watu waliongea wakaonekana wanataka pesa!

Binafsi sioni jipya hapo, hii ni danadana nyingine!"Kuiboresha Hospitali ya Taifa na kisha kusahau nyingine".

Tatizo lililo MNH(kwa ukubwa wake si vitanda), hapo Kibasila watu wamelala kwenye vitanda hadi kwenye ngazi! Na hawa wanakuwa_considered kuwa wana unafuu(kwasababu wamepata vitanda). Tatizo la MNH ni kuzidiwa kwa wagonjwa, Period.

Centralization of resources ndilo tatizo.Hospitali za Rufaa za Mikoa ndiyo haswa zinapaswa kuwezeshwa kwa kuweka vifaa vya uchunguzi na tiba, wataalamu, na dawa zenyewe. Haina ulazima kutoka mkoa hadi mkoa kwa kitu ambacho kinawezekana kufanyika sehemu hiyo hiyo.

Ina maana hivyo vitanda vilikuwepo tu ndy msd baada ya kupigwa mkwala wamevileta kumbe vitanda vilikuwepo tu?
 
Back
Top Bottom