hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,539
Ni wapi walipata order ya kutengeneza vitanda aina hiyo 500?
Halafu kama wao walikubali kupata order iweje wasipeleke vifaa hivyo but "msd" ndiyo wavichukue(tazama picha)?
Kama vilikuwepo, tatizo lilikuwa halijulikani? Halikuwahi kuongelewa au kuzungumzwa hili, na watu waliongea wakaonekana wanataka pesa!
Binafsi sioni jipya hapo, hii ni danadana nyingine!"Kuiboresha Hospitali ya Taifa na kisha kusahau nyingine".
Tatizo lililo MNH(kwa ukubwa wake si vitanda), hapo Kibasila watu wamelala kwenye vitanda hadi kwenye ngazi! Na hawa wanakuwa_considered kuwa wana unafuu(kwasababu wamepata vitanda). Tatizo la MNH ni kuzidiwa kwa wagonjwa, Period.
Centralization of resources ndilo tatizo.Hospitali za Rufaa za Mikoa ndiyo haswa zinapaswa kuwezeshwa kwa kuweka vifaa vya uchunguzi na tiba, wataalamu, na dawa zenyewe. Haina ulazima kutoka mkoa hadi mkoa kwa kitu ambacho kinawezekana kufanyika sehemu hiyo hiyo.