KAKA A TAIFA JF-Expert Member Apr 27, 2011 566 80 Sep 8, 2011 #1 Hapa ili haki itendeke awe mahututi au mzima lazima afikishwe mbele ya vyombo vya haki Attachments RAISI MUBARAK.jpg 29.7 KB · Views: 79
Likwanda JF-Expert Member Jun 16, 2011 3,910 1,131 Sep 8, 2011 #2 Kwanini wasimsomee mashitaka yake huku hospitali? Hii inaonesha kama akifa mwili wake utakuwa unapelekwa mahakamani kujibu mashitaka.
Kwanini wasimsomee mashitaka yake huku hospitali? Hii inaonesha kama akifa mwili wake utakuwa unapelekwa mahakamani kujibu mashitaka.
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,554 Sep 8, 2011 #3 Likwanda said: Kwanini wasimsomee mashitaka yake huku hospitali? Hii inaonesha kama akifa mwili wake utakuwa unapelekwa mahakamani kujibu mashitaka. Click to expand... ataungana na babu yake Pharaoh
Likwanda said: Kwanini wasimsomee mashitaka yake huku hospitali? Hii inaonesha kama akifa mwili wake utakuwa unapelekwa mahakamani kujibu mashitaka. Click to expand... ataungana na babu yake Pharaoh