Hosni Mubarak alikuwa na nguvu sana zaidi ya CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hosni Mubarak alikuwa na nguvu sana zaidi ya CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mujumba, Mar 5, 2011.

 1. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Raisi wa misri aliyepinduliwa madarakani kwa nguvu ya umma alikuwa na nguvu sana kuliko chama cha mapinduzi(sijajua mapinduzi yanayozungumzwa hapa) lakini pamoja na nguvu zake zote hizo(absolute power) aliweza kuondolewa madarakani,hivyo nina imani zama za ccm ziko mwisho na wataachia hatamu huku wakiwa wanapenda sana,ccm itakufa tuu kwani kwasasa hakina nguvu yoyote zaidi ya kutegemea propaganda ambazo watanzania wasasa HAWADANGANYIKI! natamani 2015 ifike haraka niichague CDM tena huku nikishuhudia CCM ikianguka paaaaaaaaa!!!
   
 2. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nikweli mubarak alikuwa na nguvu sana lkn ujuwe pia:
  (1) muslim brother hood sio chama cha promotion kama chadema, muslim brother hood kilianzishwa tokea mwaka 1906 na kina wanachama na wapenzi takriban dunia nzima.
  (2) maandamano ya misri hayakuwa na chama kimoja bali yalikuwa ni ya umma nzima lkn maandamano ya tanzania ni ya chama kimoja cha chadema na maaskofu.
  (3) miji iliyo ikiandamana kwa wingi ilikuwa cairo mji mkuu lkn chadema hawana ufuasi wa kutosha dsm wala dodom mji kuu wa tanzania.
  (4) waandamanaji wa misri ni wastaarabu walikuwa hawapori sana lkn waandamanaji wa tanzania ni washenzi wezi hata ikitokea ajali tu watu wanamuibia hata maiti.
  (5) wamisri walikuwa na uwezo kifedha wa ku organise mlo, mitandao, na huduma nyengine hata kwa mda mrefu lkn chadema hata wakiseidiwa na kanisa basi hizo pesa wataziiba kama alivyoiba pesa padri slaa ktk ziara ya papa tz. Kitakachotokea ni watu kuanza kuiba na kupora kama yale maandamano ya wasomi udsm yaliishi kuharibu mali na kuiba vitu vya watu basi maandamano ya mitaani tz itakuwa halaiki na mwisho nchi inaweza kuwa somalia labda wakubaliane na cuf ktk hayo maandamano lkn sidhani kama cuf na chadema watakubaliana hilo.

  Zipo tafauti nyingi kati ya tz na misri lkn chukua hizo kwa leo, ndio nikawa sioni sababu ya woga wa kikwete zaidi ya ulegevu wake tu na kushindwa kuongoza.
   
 3. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  very sure mkurugenzi.
   
 4. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Jidanganyeni kwani wewe unaponunua sukari 2200 kg 1 ukionyesha kadi yako ya ccm bei inapungua?!! acha pumba hapa wewe kale kwanza una njaa sana mkuu, yaani unashindwa kutofautisha maisha magumu yanayoikabili nchi unasema cdm tuuu, mafuta bei juu unajua tunalipa sh 800 kwa lita moja ya petrol kama revenue mbali mbali!! kama gvt hii ingekua ina huruma si wangepunguza kodi ya mafuta wakapandisha kwenye madini!!!

  umeme MW 900 hatuwezi bado wanassema wakodi generatoer ili waibe kwnn wasinunue zao?!!
  mtatoka tu hata kama hamtaki subirini muone...
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  CCM Utawajua tu uwoga mwingi, visingizio kibao na kujipa matumaini eti maandamano ya Chadema peke yake hahahaha nani kakudanganya eti Muslim Brotherhood kilianza 1906 na kina wapenzi dunia nzima, CCM nyie si ndo mlibana Vyama vingi sasa tungeanzisha wapi chama cha siasa kama si udhalimu wenu?? Pamoja na kuchelewa kuanza hata chadema kina wanacha wa TZ dunia nzima huko waliko baba, wewe endelea kujifariji tu sisi soon tunachukua nchi
   
 6. k

  kajembe JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Hakuna haja ya kukubaliana na CUF maana tunajua CUF ni chama cha wapemba, sisi watanganyika tutakubaliana bila ninyi wapemba maana mnapigania maslahi yenu ya zanzibar na wala sio Tanganyika na usijidanganye hatuwategemei ninyi hata kidogo.
   
 7. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nani kakwambia kuwa cuf ni ya wapemba? Yule albino wa lindi mjini ni mpemba? Yule mbunge wa kilwa kusini je? Mtatiro na lipumba nao ni wapemba? Madiwani 17
  wa cuf tanganyika nao ni wapemba? Jibu hoja na usitegemee sana pombe kukuseidia fikra.

  Kama hao ni wapemba basi nyie watanganyika mutakuwa mabwege kutawaliwa na wapemba.

  @chimunguru: chama cha muslim brother hood ni chama kilichopigwa marufuku misri tokea zamani na wala hakitambuliwi ktk serikali lkn kimejijenga na kina wafuasi wengi nikiwemo mimi. Ishu ya kuwa mungu wenu nyerere alikataza vyama vingi tz hii si hoja madhubuti. Sema tu kuwa watanganyika wengi ni wehu kazi yao ni ngono tu.

  Nyie kama mnataka maandamano ya fujo leteni dsm muone tutakavo wafyeka hao maaskofu wenu ktk dsm yetu. Ni bora hizo fujo zije maana sisi waislam tumedhuliwa sana tokea nyerere. Baada ya fujo watu watakaa mezani na watajuwa kuwa kumbe na waislam nao ni raia wa tz kama wakristo na ndio hapo haki za waislam zitakapo chungwa lkn bila ya fujo waislam tutaendelea kudhulumiwa. Lianzisheni basi duh kudadeki.
   
 8. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sorry! Nime kusudia madiwani 170
   
 9. m

  mzambia JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ulivyotaja maaskofu nilijua tu mtabe unaelekea kny udini na sasa nimeprove afu kuhusu muslim brotherhood ilianzishwa na cia kupitia kwa sir mac mahone kama unakumbuka vizuri lengo lilikuwa ni maslahi ya usa na uk sasa we unataka kutudanganya siyo vema.
   
 10. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ni kweli CUF ni chama cha wapemba tuu hawana lolote,watuachie CHADEMA yetu ituleteee ukombozi
   
 11. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  tatizo na nyie masheikh mnajiona mnajua saana lakini hamna lolote,siasa za siku hizi zinaendeshwa kisayansi zaidi so ni ngumu sana kwa CDM kuungana na CUF chama ambacho kimekosa dira na ndio maana yule msomi wenu pekee prof Safari ameliona hilo na kuamua kujitoa huko
   
Loading...