Hosn mubarak ni firauni wa zama hizi?

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
Wan JF naomba mchango wenu kuna baadhi ya mashirika ya habari yanamuita aliyekuwa Rais wa Misri Hosni Mubarak kuwa ni Firauni wa zama hizi. Swali langu je ni sawa kumpa sifa au jina hili. je kweli kwamba, Hosni Mubarak amefanya unyama mkubwa sawa na Firauni au kumzidi?
 
kwani we unaishi dunia gani hujui kama firauni alikuwa katili, eboo
 
Nani kakwambia firauni alikuwa katili?
ngawa sifahamu wewe ni mfuasi wa dini gani, lakini kwa mujibu wa imani yangu ya Kiislamu hoja yangu ni hii Qur'ani 28:04 ambayo inasema
Hakika Firauni alitakabari katika nchi, na akawagawa wananchi makundi mbali mbali. Akalidhoofisha taifa moja miongoni mwao, akiwachinja watoto wao wanaume na akiwaacha watoto wao wanawake. Hakika yeye alikuwa katika mafisadi.
 
Back
Top Bottom