Hosea:Dola za kimarekani bilioni 148 hupotea kila mwaka kwa rushwa Afrika na kuwekwa benki za nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hosea:Dola za kimarekani bilioni 148 hupotea kila mwaka kwa rushwa Afrika na kuwekwa benki za nje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyaupusi, Jun 19, 2012.

 1. n

  nyaupusi Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu Hosea anasema hivi wakati kuna fununu ambazo hazija thibitishwa na upande wowote kwamba kuna mfanyabiashara maarufu wa Tanzania anataka kupeleka pesa nje ya nchi. Hili nalo wadau likoje maana sielewi hapa? Mkutano wa kurudisha pesa unafanyika Tanzania wakati kuna mtu anataka kutoa pesa Tanzania hapo hapo na kupeleka nje. Nbaki na viulizo???????????????????????
   
Loading...