Hortmani,mchungaji pekee aliyemsaliti mtoto wa Gaddafi hadi kukamatwa kwake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hortmani,mchungaji pekee aliyemsaliti mtoto wa Gaddafi hadi kukamatwa kwake.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CHIPANJE, Nov 22, 2011.

 1. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Saif al Islam,mtoto wa Gaddafi,aliyekamatwa wiki ilopita alisalitiwa na mchungaji wa wanyama katika jangwa la Sahara ambako Saif alipanga kutorokea kwenda nchi jirani ya Niger ambako kakake ndiko anakoishi.

  Mchungaji huyo aliye ahidiwa kupewa euro milioni tano na mtoto huyo wa Gaddafi,Saif al Islam endapo kama angefanikisha kumtorosha hadi mwishoni mwa mpaka.

  Mchungaji huyo,aliamua kuwasiliana na watu walofanikiwa kumkamata Saif akiwa anataka kutoroka.

  Saif,alipokamatwa hakuwa na kiasi hicho cha fedha alichoahidi kumpa mchungaji huyo.Kwenye gari alilokua amepanda kulikua na kiasi cha chini ya dola elfu tano za kimarekani.

  Mchungaji huyo anadai kwamba anahisi angeuliwa endapo wangefika mwishoni mwa mpaka.Bw.Hortmani,ambaye kwa sasa anajigamba kwa kujiita "shujaa".Wa Libya wanadai kua ukurasa wa mwisho tamthilia katika kitabu.

  Chanzo:Reuters.
   
 2. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sijakupata mkuu. Mcungaji wa kanisa au mchungaji wa kitu gani?
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni upotoshaji huu, heading alivoiweka, labda alitaka kudraw more tention which is less relevant
   
 4. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mchungaj wa nyama,mbona nimeleza hapo juu!
   
 5. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unadhani hata wangepata euro milioni 10 wangesema ? Huo ndio mgao wao.
   
 6. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  yule naye huenda ni chapombe, alivokuwa anaropoka hovo utafikiri ni ndugu na huyu jamaa wa kuvua magamba.
   
Loading...