Lily Flower JF-Expert Member Oct 16, 2009 2,553 1,197 Mar 5, 2010 #2 Hapo wanatafakari who's next, kweli horror.
Soulbrother JF-Expert Member Apr 14, 2009 405 14 Mar 5, 2010 #3 Mazungumzo yao Mama kuku: unaona, wale hawana ukuku, yaani ni walakuku Mtoto kuku:baba naogopa Baba kuku: usiogope mwanangu, ni sinema tu... sound effects kibao na make up. huyo kuku unayemwona hapo ndiye yule 007 Sista du kuku: nimemsikia, wanamwita chick, ken chick
Mazungumzo yao Mama kuku: unaona, wale hawana ukuku, yaani ni walakuku Mtoto kuku:baba naogopa Baba kuku: usiogope mwanangu, ni sinema tu... sound effects kibao na make up. huyo kuku unayemwona hapo ndiye yule 007 Sista du kuku: nimemsikia, wanamwita chick, ken chick