Hopeless ni CCM AU CHADEMA

washabiki wa ccm watakwambia chadema ni hopeless na washabiki wa chadema nao watakwambia ccm ndo hopeless.....ndio jibu utakalopata
 
Ni kati ya chama kipi ni HOPELESS THAN OTHER and why
Huu ni upupu - timu moja iko uwanjani inacheza ingawaje inafungwa, timu nyingine bado inasubiri kuingia uwanjani - utawapimaje ? Chadema itakuwaje hopeless na haijawahi kukamata dola ? Hoja zingine sijui zinaingiaje JF.
 
Hopeless ni yule anayetegemewa kufanya kila kitu na akapewa priority zote lakini hafanyi.chagua mwenyewe sasa!!!
 
mimi ni mNAZI wa CCM, chadema ni HOPELESS.

Hakuna cha haijawahi kushika madaraka wala nini...!!
 
Mmoja amekuwa madarakani kwa miaka 50 na matekeo yake yako wazi, 37% hawajui watakula nini, umeme licha ya kuwa umewafikia watu wachache sana bado ni wa mgao, haki za binadamu zinakiukwa na vyombo vya dola badala ya kulinda raia vimekuwa vinaua raia, 80% ya wanafunzi kidato cha iv wamefeli, mashirika ya ndege, reli yako mbioni kufa huku viwanda lukuki vikiwa tayari vimekufa kabisa, General tyres, machine tools, mwatex, Tanganyika packers etc. Na sasa tuna keshi mahakama ya kimataifa ICC tukitakiwa tulipe billion zaidi ya billion tisini kwa kwa kampuni HEWA ya kufufua umeme. Mbaya zaidi tumeanza kuangalina wenyewe kwa wenyewe kwa mlango wa udini na ukabila. Huo ndio muhtasari wa ccm baada ya miaka 50.

Huyu mwingine ameibua SIRI za wakubwa, kaamsha umma baada ya kuona wezi wamepiga kambi kila kona. hata hivyo kapewa 'vijisehemu' vidogo kuongoza na tayari unafuu umeonekana i.e Karatu, Moshi mjini. Sasa anataka aongezewe wigo wa utawala ili umma wote wa tanzania waishi kwa misingi ya utu, haki na sheria. Wasifa wa chadema.

Oh uliuliza kati ya ccm na chadema nani hopeless mmmmm...... i know nani hopeless
 
Huu ni upupu - timu moja iko uwanjani inacheza ingawaje inafungwa, timu nyingine bado inasubiri kuingia uwanjani - utawapimaje ? Chadema itakuwaje hopeless na haijawahi kukamata dola ? Hoja zingine sijui zinaingiaje JF.

mkuu upupu umekuwasha .jibu nani pale ni hopeless na utoe sababu .usije kuwa miongoni mwa mahopeless .sory
 
MAANA YA HOPE LESS
1. having or offering no hope
2. impossible to analyse or solve
3. unable to learn, function, etc.
4. Informal without skill or ability
5. Hopeless - without hope because there seems to be no possibility of comfort or success.
6. hopeless - of a person unable to do something skillfully
1. hopeless - certain to fail; "the situation is hopeless"

Je sifa hizi zinakifanania chama gani zaidi?/??
 
Back
Top Bottom