FUKO LA DHIKI JF-Expert Member May 8, 2011 463 145 Sep 10, 2011 #1 Habari wana JF! Nimefurahi kuwa member wa familia hii.
Keren_Happuch JF-Expert Member Jan 14, 2011 1,874 935 Sep 15, 2011 #3 Karibu sana JF...ila angalia tu usije ukatuambukiza hizo DHIKI ulizobeba....
U utantambua JF-Expert Member Aug 1, 2011 1,367 321 Sep 15, 2011 #4 Sasa ndo tukuelewe vipi mkuu? Mi nilitegemea unaleta fuko la neema, anyway hivyohivyo tu karibu ndani
Sasa ndo tukuelewe vipi mkuu? Mi nilitegemea unaleta fuko la neema, anyway hivyohivyo tu karibu ndani
Mpita Njia JF-Expert Member Mar 3, 2008 6,997 1,163 Sep 15, 2011 #7 Karibu sana, lakini hilo fuko lako lichunge sana lisije likapasuka na kutuambukiza
M Mr Rocky JF-Expert Member Oct 10, 2007 15,178 14,349 Sep 15, 2011 #9 Karibu sana sana JF jisikie huru kwa kufuata kanuni kuchangia mawazo yako